Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Black people wanakwama wapi jamani!! Ndio kina mange kimambi hao, hujiona wako peponi,,,wasukuma tunasema hivi "Mashkolo mageni"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa ha ha, bora umemwambia. Iran???? eti imsaidie USA kwa Iraq, how?Iran aliisaidia mpaka Israel kulipua vinu vya nyuklia vya Iraq .. Ijapokuwa Ni mahasimu [emoji16][emoji16] Iran akili zao hazifai
Ndo mnavojidanganya ivo!!!!!!!!Yani Korea Kaskazini ana mavitu ya hatari mpaka anatamani tu mtu aanzishe uchokozi amtoe mfano...
Wamarekan wangekuwa wanahofia KK kama ulivyo andika hapa? Nadhan wangeacha hata ku deal na corona.. wainvest kwenye silaha.Wamarekani hawalali wanataka kuifuta KK kwenye uso wa dunia kwa sbabu ya hizo usemazo manati.
Kama walipiga Iraq, wakidai in WMD wanashindwa nn kwa KK
Ndo mnavojidanganya ivo!!!!!!!!
Eti N. Korea uipambanishe na USA si utaira huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nchi ambayo sio Ata regional power unataka uilinganishe na world super power??? Labda kama umelewa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wanajeshi wa n. Korea kila siku wanakimbilia Nchi jirani kwa sababu ya njaa kali, Ata mshara watakua hawapewi wale jamaa.