Wameķufanyaje tena? Hahaha. Hii nchi hii.Achana na wasabato ambao hawajui kuhibiri mahubri yao ni hayohayo kila uchwao. Namshukuru mungu kusali kanisa lenye wasomi wenye hekima na busala mana huwezi kukuta pasre au askofu anabishana na hawa vichaaa wa kisabato. Wasababto wote ni vichaa
Communism ni kati ya ideology za kipumbavu kuikumba dunia! Kila mmoja atakula kwa jasho lake; tena asiyefanya kazi na asile! Sijui Mwl; msomi wa Edinburgh aliingiaje mkenge na ukatoliki wake!Nadhani hata lengo la Nyerere lilikuwa ni hilohilo labda hofu yake ilikuwa ni kutoka Kanisani.
Niko tayari kuishi nchi yoyote ya Africa hata Somalia lakini sio Korea Kaskazini ya Kiduku.Korea Kaskazini imechoka uki compare na Ulaya ama Usa, ila majority ya Nchi za ki Africa hawafikii Korea.
Huyo ni Mpuuzi mkubwa sana duniani!Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.
Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu lakini hakuna ukweli kwamba ni maneno ya mungu bali ya wajanja tu waliokaa na kutafuta namna ya kuiba.
Korea kaskazini wana namna yao ya kumwabudu Mungu bila vitabu hivyo vya kimagaharibi.
Ukatoliki umepiga vita Ukomunisti kwa miongo mingi, Mwalimu angeamua kuwa Atheist angeanza kusema tumuabudu yeye.Communism ni kati ya ideology za kipumbavu kuikumba dunia! Kila mmoja atakula kwa jasho lake; tena asiyefanya kazi na asile! Sijui Mwl; msomi wa Edinburgh aliingiaje mkenge na ukatoliki wake!
Kiduku ni Brutal Dictator anaua sana.North Korea wako very strict
Wa kwanza ndo alikopi Korea kaskazini,ukipinga kifungo Cha njeJpm alitaka kuifanya nchi hii kama korea kaskazini Mungu akasema no
Kwamba Korea Kaskazini wamepitwa maendeleo na nchi ya kina Baba Levo na Mwijaku?Mbona yeye Hana maendeleo. Nchi imechoka balaa. Kusini ni wa kristo kwa kiasi wana maendeleo
Duuh.....Mbona yeye Hana maendeleo. Nchi imechoka balaa. Kusini ni wa kristo kwa kiasi wana maendeleo
Jifunze kutumia lugha za staha.Achana na wasabato ambao hawajui kuhibiri mahubri yao ni hayohayo kila uchwao. Namshukuru mungu kusali kanisa lenye wasomi wenye hekima na busala mana huwezi kukuta pasre au askofu anabishana na hawa vichaaa wa kisabato. Wasababto wote ni vichaa
AaaahaaaAchana na wasabato ambao hawajui kuhibiri mahubri yao ni hayohayo kila uchwao. Namshukuru mungu kusali kanisa lenye wasomi wenye hekima na busala mana huwezi kukuta pasre au askofu anabishana na hawa vichaaa wa kisabato. Wasababto wote ni vichaa
Mimi nikazie mkuu wasabato ibada yao ni nzuri sana ila wakiachana na ushindani usio na tija kwa madhehebu mengine watakua poa sana katika ukristo.Achana na wasabato ambao hawajui kuhibiri mahubri yao ni hayohayo kila uchwao. Namshukuru mungu kusali kanisa lenye wasomi wenye hekima na busala mana huwezi kukuta pasre au askofu anabishana na hawa vichaaa wa kisabato. Wasababto wote ni vichaa
OkKim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.
Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu lakini hakuna ukweli kwamba ni maneno ya mungu bali ya wajanja tu waliokaa na kutafuta namna ya kuiba.
Korea kaskazini wana namna yao ya kumwabudu Mungu bila vitabu hivyo vya kimagaharibi.
Imani ziko duniani kote. Haziko Africa tu.Mwafrika mpaka umtoe kwenye utumwa wa ukristu sio rahisi. Kabaka wa Uganda alichukia mpaka akaamua kuwachoma moto waliokataa kuachana na ukristu. Mwafrika anaona ufahari kutajwa na mzungu kuwa eti ni mtakatifu!! Ukijikita katika imani yako wenzako wanakuita mshamba. Waafrika tuamke sasa, tujikite katika imani zetu za jadi, angalia majanga yanavyotuandama kwa sababu ya ujinga wetu, mababu wamechukia.