Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

Achana na wasabato ambao hawajui kuhibiri mahubri yao ni hayohayo kila uchwao. Namshukuru mungu kusali kanisa lenye wasomi wenye hekima na busala mana huwezi kukuta pasre au askofu anabishana na hawa vichaaa wa kisabato. Wasababto wote ni vichaa
Wameķufanyaje tena? Hahaha. Hii nchi hii.
 
Nadhani hata lengo la Nyerere lilikuwa ni hilohilo labda hofu yake ilikuwa ni kutoka Kanisani.
Communism ni kati ya ideology za kipumbavu kuikumba dunia! Kila mmoja atakula kwa jasho lake; tena asiyefanya kazi na asile! Sijui Mwl; msomi wa Edinburgh aliingiaje mkenge na ukatoliki wake!
 
Korea Kaskazini imechoka uki compare na Ulaya ama Usa, ila majority ya Nchi za ki Africa hawafikii Korea.
Niko tayari kuishi nchi yoyote ya Africa hata Somalia lakini sio Korea Kaskazini ya Kiduku.
 
Huyo ni
Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.

Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu lakini hakuna ukweli kwamba ni maneno ya mungu bali ya wajanja tu waliokaa na kutafuta namna ya kuiba.

Korea kaskazini wana namna yao ya kumwabudu Mungu bila vitabu hivyo vya kimagaharibi.
Huyo ni Mpuuzi mkubwa sana duniani!
 
Communism ni kati ya ideology za kipumbavu kuikumba dunia! Kila mmoja atakula kwa jasho lake; tena asiyefanya kazi na asile! Sijui Mwl; msomi wa Edinburgh aliingiaje mkenge na ukatoliki wake!
Ukatoliki umepiga vita Ukomunisti kwa miongo mingi, Mwalimu angeamua kuwa Atheist angeanza kusema tumuabudu yeye.

John Paul II has long been credited with being instrumental in bringing down communism in Catholic Eastern Europe by being the spiritual inspiration behind its downfall and a catalyst for a peaceful revolution in Poland.
 
#Kwani yeye Kim Jong Un ana Nini sana Kwa kutofuata hizi dini za Africa?

"Africa is for Africans"
 
Mwafrika mpaka umtoe kwenye utumwa wa ukristu sio rahisi. Kabaka wa Uganda alichukia mpaka akaamua kuwachoma moto waliokataa kuachana na ukristu. Mwafrika anaona ufahari kutajwa na mzungu kuwa eti ni mtakatifu!! Ukijikita katika imani yako wenzako wanakuita mshamba. Waafrika tuamke sasa, tujikite katika imani zetu za jadi, angalia majanga yanavyotuandama kwa sababu ya ujinga wetu, mababu wamechukia.
 
Achana na wasabato ambao hawajui kuhibiri mahubri yao ni hayohayo kila uchwao. Namshukuru mungu kusali kanisa lenye wasomi wenye hekima na busala mana huwezi kukuta pasre au askofu anabishana na hawa vichaaa wa kisabato. Wasababto wote ni vichaa
Jifunze kutumia lugha za staha.
Kutukana siyo suluhisho la kutatua tofauti za kiimani(mapokeo) ulizo nazo dhidi ya wengine. Dhehebu la mtu halina nafasi ya moja kwa moja kukufikisha Paradiso endapo wewe binafsi haujajikana nafsi yako na kuyatenda mapenzi ya Mungu kikamilifu.

Samahani lakini.
 
Achana na wasabato ambao hawajui kuhibiri mahubri yao ni hayohayo kila uchwao. Namshukuru mungu kusali kanisa lenye wasomi wenye hekima na busala mana huwezi kukuta pasre au askofu anabishana na hawa vichaaa wa kisabato. Wasababto wote ni vichaa
Aaaahaaa
 
Naunga mkono hoja, hadi hapo tutakapojua kuwa mungu wa watu wa ulaya na marekani sio mungu wa Afrika, hapo ndio tutakuwa na ukombozi kamili.

Haiwezekani watu wametoka huko ulaya na marekani wanakuja kutuaminisha kuwa huyo mungu wao ndio mungu wa kweli, wakati sisi tuliishi vizuri kabla ya wao kuja.

Uislamu na ukristo ni fix tu, havina ukweli wowote kwa mwafrika
 
Achana na wasabato ambao hawajui kuhibiri mahubri yao ni hayohayo kila uchwao. Namshukuru mungu kusali kanisa lenye wasomi wenye hekima na busala mana huwezi kukuta pasre au askofu anabishana na hawa vichaaa wa kisabato. Wasababto wote ni vichaa
Mimi nikazie mkuu wasabato ibada yao ni nzuri sana ila wakiachana na ushindani usio na tija kwa madhehebu mengine watakua poa sana katika ukristo.
 
Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.

Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu lakini hakuna ukweli kwamba ni maneno ya mungu bali ya wajanja tu waliokaa na kutafuta namna ya kuiba.

Korea kaskazini wana namna yao ya kumwabudu Mungu bila vitabu hivyo vya kimagaharibi.
Ok
 
waafrika hawatakagi kusikia ukweli mchungu.. bora uwape uongo mtamu watakuona mtu wa maana kabisa[emoji16]
 
Mwafrika mpaka umtoe kwenye utumwa wa ukristu sio rahisi. Kabaka wa Uganda alichukia mpaka akaamua kuwachoma moto waliokataa kuachana na ukristu. Mwafrika anaona ufahari kutajwa na mzungu kuwa eti ni mtakatifu!! Ukijikita katika imani yako wenzako wanakuita mshamba. Waafrika tuamke sasa, tujikite katika imani zetu za jadi, angalia majanga yanavyotuandama kwa sababu ya ujinga wetu, mababu wamechukia.
Imani ziko duniani kote. Haziko Africa tu.
 
Back
Top Bottom