Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

Propaganda tu za magahatibi. Korea kaskazini wanakaribia hata kuishika marekani kimaendeleo
🤣🤣ni bidhaa gani.unayoijua onayotengenezwa korea kaskazini ?maendeleo ni pamoja na viwanda mfano majirani zao peoples republic of korea wana bidhaa nyingi tunaziona wao wana nini
 
Sasa yeye korea kaskazini ana nini zaidi ya kutengeneza mabomu tu?
Raia wake hawana raha, kibao wanajaribu kuzamia korea kusini ambapo kuna uhuru wa kuabudu na wengi ni christians
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…