Seriously!!!!!!!!!!!!!!?????Propaganda tu za magahatibi. Korea kaskazini wanakaribia hata kuishika marekani kimaendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seriously!!!!!!!!!!!!!!?????Propaganda tu za magahatibi. Korea kaskazini wanakaribia hata kuishika marekani kimaendeleo
🤣🤣ni bidhaa gani.unayoijua onayotengenezwa korea kaskazini ?maendeleo ni pamoja na viwanda mfano majirani zao peoples republic of korea wana bidhaa nyingi tunaziona wao wana niniPropaganda tu za magahatibi. Korea kaskazini wanakaribia hata kuishika marekani kimaendeleo
Sasa yeye korea kaskazini ana nini zaidi ya kutengeneza mabomu tu?Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.
Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu lakini hakuna ukweli kwamba ni maneno ya mungu bali ya wajanja tu waliokaa na kutafuta namna ya kuiba.
Korea kaskazini wana namna yao ya kumwabudu Mungu bila vitabu hivyo vya kimagaharibi.