Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 3,338 Reaction score 6,327 Aug 20, 2022 #21 Litakufa jitu
witzone2 JF-Expert Member Joined Jan 14, 2022 Posts 797 Reaction score 1,739 Aug 20, 2022 #22 Ndugu umeongea kitu Cha kweli kabisa japo wengi wetu humu watapinga sana. Hivi USA asingekua anadhibiti baadhi ya nchi kwenye maswala ya kivita si Dunia ingekua imeshuhudia vita vya dunia zaidi ya mara 5. Nchi kama Japan USA ndo anamshika break. Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ndugu umeongea kitu Cha kweli kabisa japo wengi wetu humu watapinga sana. Hivi USA asingekua anadhibiti baadhi ya nchi kwenye maswala ya kivita si Dunia ingekua imeshuhudia vita vya dunia zaidi ya mara 5. Nchi kama Japan USA ndo anamshika break. Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
witzone2 JF-Expert Member Joined Jan 14, 2022 Posts 797 Reaction score 1,739 Aug 20, 2022 #23 Au wale warabu wasingedhibitiwa na USA wakaruhusiwa kua wanajitengenezea silaha zao hatari na wakamiliki nyuklia Dunia hii ingekalika kweli Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Au wale warabu wasingedhibitiwa na USA wakaruhusiwa kua wanajitengenezea silaha zao hatari na wakamiliki nyuklia Dunia hii ingekalika kweli Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 19,559 Reaction score 36,514 Aug 21, 2022 #24 Herzog said: Hawa madikteta huwa wanawazia kwenye makalio Click to expand... Kwenu ambao hawawazii kwenye makalio mmewazidi nini hao wanaowazia makalioni!!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
Herzog said: Hawa madikteta huwa wanawazia kwenye makalio Click to expand... Kwenu ambao hawawazii kwenye makalio mmewazidi nini hao wanaowazia makalioni!!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Rutagwerera Sr JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 5,809 Reaction score 11,462 Aug 21, 2022 #25 witzone2 said: Au wale warabu wasingedhibitiwa na USA wakaruhusiwa kua wanajitengenezea silaha zao hatari na wakamiliki nyuklia Dunia hii ingekalika kweli Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... Wakati mwingine mtu ukiliwaza hilo unaona kweli 🤔
witzone2 said: Au wale warabu wasingedhibitiwa na USA wakaruhusiwa kua wanajitengenezea silaha zao hatari na wakamiliki nyuklia Dunia hii ingekalika kweli Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... Wakati mwingine mtu ukiliwaza hilo unaona kweli 🤔
Come27 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 7,723 Reaction score 7,408 Aug 21, 2022 #26 MakinikiA said: Jamaa anataka vita hakuna kingine Click to expand... Anataka Vita na wakati Corona tuuu, inamuangaisha dunia bwana
MakinikiA said: Jamaa anataka vita hakuna kingine Click to expand... Anataka Vita na wakati Corona tuuu, inamuangaisha dunia bwana