Korea Kaskazini yakataa ofa ya Korea Kusini ya kuacha nyuklia ili ipewe misaada ya kiuchumi, yamwambia rais huyo afunge mdomo wake

Korea Kaskazini yakataa ofa ya Korea Kusini ya kuacha nyuklia ili ipewe misaada ya kiuchumi, yamwambia rais huyo afunge mdomo wake

Ndugu umeongea kitu Cha kweli kabisa japo wengi wetu humu watapinga sana. Hivi USA asingekua anadhibiti baadhi ya nchi kwenye maswala ya kivita si Dunia ingekua imeshuhudia vita vya dunia zaidi ya mara 5. Nchi kama Japan USA ndo anamshika break.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Au wale warabu wasingedhibitiwa na USA wakaruhusiwa kua wanajitengenezea silaha zao hatari na wakamiliki nyuklia Dunia hii ingekalika kweli

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom