Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenu ambao hawawazii kwenye makalio mmewazidi nini hao wanaowazia makalioni!!!??Hawa madikteta huwa wanawazia kwenye makalio
Wakati mwingine mtu ukiliwaza hilo unaona kweli 🤔Au wale warabu wasingedhibitiwa na USA wakaruhusiwa kua wanajitengenezea silaha zao hatari na wakamiliki nyuklia Dunia hii ingekalika kweli
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Anataka Vita na wakati Corona tuuu, inamuangaisha dunia bwanaJamaa anataka vita hakuna kingine