Korea Kaskazini yawataka raia wake wafuge mbwa kwa ajili ya nyama

Wenzako wanakula hio kitu wanaishi miaka 100 sasa wewe unajivunia uislam wastani wa maisha yako miaka 40 maradhi kibao hadi kifoo
Acha upuuzi we kobe.
Babu yangu anaumri wa miaka 90+ na hajawahi kula mbwa.

Kama kula mbwa kunamuongezea umri wa kuishi mlaji, basi wahehe wasingekua wanakufa wakiwa vijana.

Nb. Hiyo habari ni chai tu.
 
Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku wananchi wake kufuga mbwa na kuishi nao kama sehemu ya familia, badala yake wametakiwa kufuga kwa ajili ya kula nyama na kuchuna ngozi yake.

Tangazo la kupiga marufuku ufugaji wa mbwa kama wanyama pendwa wa kuzurura nao mitaani, lilitolewa kwenye mkutano wa Umoja wa Wanawake wa Kisoshalisti wa Korea kwenye jimbo la kusini la Pyongan lililopo kaskazini mwa mji mkuu wa Pyongyang. Korea Kaskazini inaongozwa na Kim Jong Un.

Akizungumza na gazeti la Daily NK la nchi jirani ya Korea Kusini, mmoja wa wanaharakati (bila kutaja jina lake) aliorodhesha makosa ambayo mmiliki wa mbwa anaweza kuchukuliwa hatua za kisheria na Serikali ikiwamo ufugaji mbwa kama mwanafamilia.

“Kumfanya mbwa kama sehemu ya familia, kula na kulala naye kwenye familia ni kinyume na maelekezo ya serikali na kunatakiwa kuepukwa,” alisema mtoa taarifa.

Pia, alisema makosa mengine ni kumvalisha mbwa nguo, kama alivyofanya Paris Hilton wa Marekani kwa mbwa wake. Paris Hilton aliyezaliwa Februari 17, 1981 ni mfanyabiashara, mwanamitindo, mwimbaji, DJ, na mwigizaji ambaye familia yake ndiyo inamiliki mtandao wa hoteli za Hilton duniani kote.
North Korea Government is among of the most Craziest regimes in the World.
 
Sasa uislam unaingiliana vipi hapo? Hiyo ni Mila na desturi ya nchi yao, dini yao unaijua ?
Katika uislamu mbwa ni najis sharia haituruhusu ata kumshika shika na kucheza naye achilia mbali kumla, kwamfano chombo kilichonuswa nuswa na mbwa yatupasa kukosha mara 7 na moja kati ya hizo iwe kwa mchanga. Ndio mana nikasema najivunia kuwa muislam
 
Kwa sababu utakuja kupewa mabikra 72 silu ukifa au siyo
Amin Amin na hata wewe ukiwa muislam hiyo ni neema haichagui alimradi ufe ukiwa muislam uliyekamilika
 
Hizo ni Mila zao ....mnashindwa Nini kuheshimu Mila na tamaduni za watu!?? hapo south Korea tu bepari mwenzenu wanakuja mbwa haohao.... Wakila wa kaskazini mnadharau!?? Ficheni basi ujinga hata kidogo...
Mila ikipingana na sharia katika dini huwa si chochote ni upuuzi tu
 
Baki na dini yako wao Wana dini yao.... Duniani Kuna dini nyingi sana..... Baki na unachoamini huo ndio ustaarabu....
 
Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku wananchi wake kufuga mbwa na kuishi nao kama sehemu ya familia, badala yake wametakiwa kufuga kwa ajili ya kula nyama na kuchuna ngozi yake.

Tangazo la kupiga marufuku ufugaji wa mbwa kama wanyama pendwa wa kuzurura nao mitaani, lilitolewa kwenye mkutano wa Umoja wa Wanawake wa Kisoshalisti wa Korea kwenye jimbo la kusini la Pyongan lililopo kaskazini mwa mji mkuu wa Pyongyang. Korea Kaskazini inaongozwa na Kim Jong Un.

Akizungumza na gazeti la Daily NK la nchi jirani ya Korea Kusini, mmoja wa wanaharakati (bila kutaja jina lake) aliorodhesha makosa ambayo mmiliki wa mbwa anaweza kuchukuliwa hatua za kisheria na Serikali ikiwamo ufugaji mbwa kama mwanafamilia.

“Kumfanya mbwa kama sehemu ya familia, kula na kulala naye kwenye familia ni kinyume na maelekezo ya serikali na kunatakiwa kuepukwa,” alisema mtoa taarifa.

Pia, alisema makosa mengine ni kumvalisha mbwa nguo, kama alivyofanya Paris Hilton wa Marekani kwa mbwa wake. Paris Hilton aliyezaliwa Februari 17, 1981 ni mfanyabiashara, mwanamitindo, mwimbaji, DJ, na mwigizaji ambaye familia yake ndiyo inamiliki mtandao wa hoteli za Hilton duniani kote.
Korea ya Kaskazini iko sahihi kabisa.Kufuga Mbwa na kumfanya kama mwanafamilia si tabia ya kawaida ya mwanadamu.Tabia hii imeingizwa kwa siri bila mwanadamu kujua na Shetani.Congrats North Korea,angalau katika hili.Mkiamua hata kumla Mbwa ni sawa tu,hakuna kitu alichoumba Mungu ambacho ni najisi,otherwise na Yeye angekuwa najisi basi.Sasa kwa vile Yeye si najisi,ina maana kila kitu alichoumba ni safi.Kama wewe hutaki kula acha,ila usisingizie kuwa ni najisi
 
Katika uislamu mbwa ni najis sharia haituruhusu ata kumshika shika na kucheza naye achilia mbali kumla, kwamfano chombo kilichonuswa nuswa na mbwa yatupasa kukosha mara 7 na moja kati ya hizo iwe kwa mchanga. Ndio mana nikasema najivunia kuwa muislam
Kwako wewe sasa si kwa wengine, usichokitumia wewe wengine kwao ni chema kabisa.
 
North Korea Government is among of the most Craziest regimes in the World.
Don't use your head as a deck of teeth...f***k.... Are Southern Koreans Crazy too!?? Get your head straight bro ... Don't be such a fool... That of which,I can imagine still living to your brother in-law..if your sister divorced the you are too ... DIVORCED...
 
H
Haujui kitu Kaa kimya ndugu..... Vipi na Hawa ndugu zenu waKorea Kusini nao ni wavuta bange!??? ..... Mkishalishwa propaganda mnazibeba kama dekio...... Korea Kusini ni wabepari wenzenu!?? ....hao hapo.... Wamepotisha SHERIA January,2024 lakini itaanza kutumikia 2027 ...Kwa nini!??.....
Mtoto wa nzi na akili zako ni za ki nzi nzi, wewe unamuona huyo dogo anaenyoa panki ni mzima huyo?
 
Don't use your head as a deck of teeth...f***k.... Are Southern Koreans Crazy too!?? Get your head straight bro ... Don't be such a fool... That of which,I can imagine still living to your brother in-law..if your sister divorced the you are too ... DIVORCED...
Mbona unapanick sana na korea ya kaskazini, ni nani zako wale?

Maana unachanganyikiwa hadi unataka kujinyea!
 
Naunga mkono hoja, kama huwezi kula nyama ya mbwa basi mfanye awe mlinzi tu lakini sio mwanafamilia ni ujinga wa hali ya juu kabisa.
Hiko kitu hata mimi kinanikera sana. Unalala hadi na mbwa kitandani. Eti mbwa anakaa mezani mnakula naye chakula. Kijiko hiko hiko, analishwa mtoto then analishwa na mbwa. Kimoja kwa Binadamu, kimoja kwa mbwa.
 
Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku wananchi wake kufuga mbwa na kuishi nao kama sehemu ya familia, badala yake wametakiwa kufuga kwa ajili ya kula nyama na kuchuna ngozi yake.

Tangazo la kupiga marufuku ufugaji wa mbwa kama wanyama pendwa wa kuzurura nao mitaani, lilitolewa kwenye mkutano wa Umoja wa Wanawake wa Kisoshalisti wa Korea kwenye jimbo la kusini la Pyongan lililopo kaskazini mwa mji mkuu wa Pyongyang. Korea Kaskazini inaongozwa na Kim Jong Un.

Akizungumza na gazeti la Daily NK la nchi jirani ya Korea Kusini, mmoja wa wanaharakati (bila kutaja jina lake) aliorodhesha makosa ambayo mmiliki wa mbwa anaweza kuchukuliwa hatua za kisheria na Serikali ikiwamo ufugaji mbwa kama mwanafamilia.

“Kumfanya mbwa kama sehemu ya familia, kula na kulala naye kwenye familia ni kinyume na maelekezo ya serikali na kunatakiwa kuepukwa,” alisema mtoa taarifa.

Pia, alisema makosa mengine ni kumvalisha mbwa nguo, kama alivyofanya Paris Hilton wa Marekani kwa mbwa wake. Paris Hilton aliyezaliwa Februari 17, 1981 ni mfanyabiashara, mwanamitindo, mwimbaji, DJ, na mwigizaji ambaye familia yake ndiyo inamiliki mtandao wa hoteli za Hilton duniani kote.
Waambie kuna wenzao nyanda za juu kusini hapa nchini wanaweza kuungana
 
Back
Top Bottom