Korea Kaskazini yawataka raia wake wafuge mbwa kwa ajili ya nyama

Mbona unapanick sana na korea ya kaskazini, ni nani zako wale?

Maana unachanganyikiwa hadi unataka kujinyea!
Jibu hoja Mama... Korea kusini si ni wastaarabu hawali mbwa!?? ..jibu hoja Mama acha kulialia siku ya wanawake imeshapita ..jibu Hoja... Korea Kusini nao mnaooona wastaarabu wanakula mbwa au hawali !!
 
Wapi nimesema Korea ya kusini ni wastaarabu?

Mbona unanilisha maneno mama yako, kisa siku yetu ya wanawake imeshapita ndio unanipakazia kitu ambacho sijasema?
 
Sisi Wana wa Mtwa Mkwawa wacha tuchangamkie fursa hii
 
Back
Top Bottom