Korea Kusini iliyoendelea kila nyanja watu wake hawazaliani sana lakini Afrika Maskini watu wanazaliana mno

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Moja ya inch Bora kabsa kichwani haswaa kwenye sayansi na hesabu ni south Korea.
.
Sadly ni kwamba wanaziliana kwa kiwango kidogo sana hii inapelekea kukosa watu bora kwenye gunduzi mbalimbali hasa za kisayansi

Science mathematics na innovations ziko kwenye risky sana kupoteza hawa jamaa.

Kama south Korea itaendelea kuzaliana kwa 0.7 kwa kila mwanamke 2050 population of south Korea will half.

Halafu baada ya miaka 500 wote watapotea duniani.

Actually am . So worried about future generations
.
Unfortunately Tanzania na Africa tunazaliana kwa wingi sana lakini hakuna dalili ya kufanya mambo ya maana

Leo tupo Tanzania wadada wasomi ndo hao wanatingisha makalio tiktok.

Vijana wa kiume ndo hao wanakimbazana na makalio ya wadada ,kamari, kubet Simba na yanga n.k.
 
Shujaa si alishawaambia mzaliane kwasababu uchumi unakuwa na tunaenda kuwa donor kantri..
 
Jirani kila mwaka anafyatua watoto,ndani ndoa mwaka wa saba watoto sita na sioni dalili za kupunguza kasi.
Shujaa si alishawaambia mzaliane kwasababu uchumi unakuwa na tunaenda kuwa donor kantri..
 
Moja ya inch Bora kabsa kichwani haswaa kwenye sayansi na hesabu ni south Korea.
.
Sadly ni kwamba wanaziliana kwa kiwango kidogo sana hii inapelekea kukosa watu bora kwenye gunduzi mbalimbali hasa za kisayansi

Science mathematics na innovations ziko kwenye risky sana kupoteza hawa jamaa.

Kama south Korea itaendelea kuzaliana kwa 0.7 kwa kila mwanamke 2050 population of south Korea will half.

Halafu baada ya miaka 500 wote watapotea duniani.

Actually am . So worried about future generations
.
Unfortunately Tanzania na Africa tunazaliana kwa wingi sana lakini hakuna dalili ya kufanya mambo ya maana

Leo tupo Tanzania wadada wasomi ndo hao wanatingisha makalio tiktok.

Vijana wa kiume ndo hao wanakimbazana na makalio ya wadada ,kamari, kubet Simba na yanga n.k.
Ee nenden Dunian na mkaijaze Dunia
 
In long run kutozaliana ni janga kubwa sana kwenye uchumi wa nchi

Miaka inavyosonga watakosa nguvu kazi

Jamii itakuwa imetawaliwa na wenye umri mkubwa na wazee

Baadhi ya nchi kama Japan wameanza kuona matokeo ya kutozaliana
 
Ni kweli wameendelea kutuzidi, lakini mfumo wao wa maisha wanaishi kama maroboti. Huku kwetu tunaishi maisha halisi yaani pure in nature.
 
Moja ya inch Bora kabsa kichwani haswaa kwenye sayansi na hesabu ni south Korea.
.
Sadly ni kwamba wanaziliana kwa kiwango kidogo sana hii inapelekea kukosa watu bora kwenye gunduzi mbalimbali hasa za kisayansi

Science mathematics na innovations ziko kwenye risky sana kupoteza hawa jamaa.

Kama south Korea itaendelea kuzaliana kwa 0.7 kwa kila mwanamke 2050 population of south Korea will half.

Halafu baada ya miaka 500 wote watapotea duniani.

Actually am . So worried about future generations
.
Unfortunately Tanzania na Africa tunazaliana kwa wingi sana lakini hakuna dalili ya kufanya mambo ya maana

Leo tupo Tanzania wadada wasomi ndo hao wanatingisha makalio tiktok.

Vijana wa kiume ndo hao wanakimbazana na makalio ya wadada ,kamari, kubet Simba na yanga n.k.
Mkuu sasa hapa mada yako ni nini?

Kila zama zina nyakati zake. Hii Afrika unayoibeza miaka mia 5 iliyopita ilikua ni taifa kubwa kwa ugunduzi ukianzia misri mpaka africa ya mashariki. Ikaja Roma ikaja Uajemi zikaja tawala nyingi na sasa ni Marekani ambayo inaipa nguvu hiyo South Korea. Kwa hiyo usiwe na Presha wakatu wao wanapotea inawezekana kizazi hiki cha mtu mweusi kitakua kimerudi madarakani...
 
Itazame India na China kwa Africa itazame Nigeria halafu angalia hizo nchi zina kitu gani common na pia angalia uwezo wao kiuchumi.
 
Mkuu sasa hapa mada yako ni nini?

Kila zama zina nyakati zake. Hii Afrika unayoibeza miaka mia 5 iliyopita ilikua ni taifa kubwa kwa ugunduzi ukianzia misri mpaka africa ya mashariki. Ikaja Roma ikaja Uajemi zikaja tawala nyingi na sasa ni Marekani ambayo inaipa nguvu hiyo South Korea. Kwa hiyo usiwe na Presha wakatu wao wanapotea inawezekana kizazi hiki cha mtu mweusi kitakua kimerudi madarakani...
Ni vizuri kuota.
 
Kama Tanzania tungezaliana kama South Korea tulitakiwa tuwe watu kama milioni 500. Hapa naangalia population density. Tuendelee kuzaliana, bado sisi ni wachache sana.
 
Unafananisha races mbili tofauti hata level ya intelligence zinatofautiana pakubwa sana.

Mtu mweusi na mkorea hawa fanani kwa namna yoyote ile.
 
Wewe ninwale vijana wa hovyo mnaosema somo la history halina maana. Hujui ulipotoka dunia imetoka wapi na unaenda wapi.

Mungu akurehemu.
Nacho jua ni kwamba sisi watu weusi ni wajinga kupitiliza kushinda races zote bila shaka nawe wajua hilo.
 
Back
Top Bottom