Korea Kusini iliyoendelea kila nyanja watu wake hawazaliani sana lakini Afrika Maskini watu wanazaliana mno

Korea Kusini iliyoendelea kila nyanja watu wake hawazaliani sana lakini Afrika Maskini watu wanazaliana mno

Itazame India na China kwa Africa itazame Nigeria halafu angalia hizo nchi zina kitu gani common na pia angalia uwezo wao kiuchumi.
Nigeria imejaa makapuku sawa tu na India at least China anajitahidi kupunguza makapuku lakini naye wapo wengi
 
Africans tuko energetic. Ila vichwani sasa
Ni siasa na viongozi wasiokuwa na maono.
Watu wenye akili na maono ndio waanapigwa vita.

Kingine unafiki na uchawi ila kaa ujue uchawi si lazima kumroga mtu.
 
Waafrika na kujidharau ni uji na mgonjwa
Hii imewapa fursa na wengine kutudharau pia
Afrika kama bara hatujawafikia wachina bado,na india tumewazidi kidogo sana
Hoja ya umasikini na idadi au kuzaliana sijui imekalia wapi hapo
Hao hawakushushwa walizaliana mpaka kufikia hapo sasa ingekuwa ndiyo sisi kwa wingi tungejidharau na dunia ingetudharau kwa hilo pia
Korea wako zaidi ya milioni 51 na eneo letu kwa ukubwa kama nchi ni kubwa zaidi mara nane kwa korea kwa hiyo ki mahesabu wao wanazaliana kuliko sisi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona tupo ma smart mzee

Mimi ni smart mkuu
Hamna mtu smart anaweza kuja na uzi wa hovyo kama wako,Alafu kutingisha makalio tiktok na usmart wapi na wapi? Kina zuchu wanamake money on tiktok kwa zungusha hayo makalio...
 
Back
Top Bottom