Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kuzaa sana kutatuletea matatizoKama Tanzania tungezaliana kama South Korea tulitakiwa tuwe watu kama milioni 500. Hapa naangalia population density. Tuendelee kuzaliana, bado sisi ni wachache sana.
Nigeria imejaa makapuku sawa tu na India at least China anajitahidi kupunguza makapuku lakini naye wapo wengiItazame India na China kwa Africa itazame Nigeria halafu angalia hizo nchi zina kitu gani common na pia angalia uwezo wao kiuchumi.
Hamna, nachojua is you are brainwashed....Nacho jua ni kwamba sisi watu weusi ni wajinga kupitiliza kushinda races zote bila shaka nawe wajua hilo.
Sisi huku tunauishi unyaniNi kweli wameendelea kutuzidi, lakini mfumo wao wa maisha wanaishi kama maroboti. Huku kwetu tunaishi maisha halisi yaani pure in nature.
Na hii ndio maana halisi ya nilicho andikaHamna nachojua
Hamna unachojua. Kasome comment yangu. Acha kuwa mdhaifu wa kila kitu.Na hii ndio maana halisi ya nilicho andika
Ni siasa na viongozi wasiokuwa na maono.Africans tuko energetic. Ila vichwani sasa
Hamna mtu smart anaweza kuja na uzi wa hovyo kama wako,Alafu kutingisha makalio tiktok na usmart wapi na wapi? Kina zuchu wanamake money on tiktok kwa zungusha hayo makalio...Mbona tupo ma smart mzee
Mimi ni smart mkuu