Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

Alesema mkpo munaenda kulipa nyinyi ni nani? Acheni kukariri story za vibarazani wakuu
Kwahiyo Mkopo unaenda kulipwa na Zanzibar ambayo Bajeti yake tu ya Nchi ni 2Trillioni Kwa Mwaka πŸ™Œ
 
Daaa mama kiz mkazi atatumalizia rasilimali khaaa
 
Mpaka hapa Lissu bado anajichukulia tu point 3 za mezani ngoja aendelee kuwapa za uso
 
Akili+Elimu! Elimu+Akili! ..... Mkopaji Tanganyika, Mtumiaji Zanzibar, Mlipaji Tanganyika!!!
 
Kunapokuwa na maslahi yenu ndiyo mnakumbuka kuwa hii ni nchi moja
Kwan tanzania Bara imefaidik kwa mangap kutok zanzobar. N mbona inafidik hadi kesho, mbona kipimd waznzbr wanalalamiki muungano mlikua kimya kipind kile ??

Anyway, mm sipo upande wa znz wala upand wa Tz bara.
Nachotaman ni kuona siku moja serikali ya zanzibar na rais wa znz wanaondok na inabk kama nchi moja rais mmoja na bunge moja tu jeshi moja katiba moja Utaifa mmoja.
 
Kwan bro alieleta muungano ni nani ? Ni nyerere kwa kumfos karume. Na karume alivotaka kujitoa ..... kilichoendelea kinajulikana. Af bro ww muungano nadhan wengi hamuujui upoje hamjui unafany kaz vp. Em tafta mwanang source za kuaminik usome.
Mkuu,
Muasisi halisi wa muungano alikuwa USA ili kuzuia kuenea kwa ukomunisti. Nyerere na Karume walitumika tu.

Bahati nzuri kwa sasa huyo muasisi hana haja na huo muungano
 
Wanalipa ZRA not TRA
Nd maana nawambia hamjui hat mnacho ongea, kiwango unacholipa ww uliepo Mbarali Mbeya Au Kasulu hat aliepo Unguja mjin nae analipa hicho hicho kwa TRA,
Alaf anakuja koulipa tena na ZRB kias kingine.
Lkn nyiny hamyajui yote hayo
 
ila watakaolipa ni WATANGANYIKA. hii nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…