Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

Wao hawajali kwa kuwa huo Mkopo unalipwa na utalipwa na Watanganyika ....!!

Imagine Afya si swala la Muungano ... sijui inakuwaje serikali ya Muungano inakopa kwenda kujenga Hospital Zanzibar. Kweli Wajinga ndiyo waliwao.
Sasa nyinyi mkikopa mbona hamkopi kwa jina la Tanganyika mnakopa kwa jina la Tanzania katika wizara zisokuwa za muungano?
 
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.

---
Who is paying this loan? Challenge kweli huu Muungano. Rais wa Zanzibar akikopa ni ya Zanzibar, Jamhuri ya Muungano means Tanganyika. Nafikiri Wabara wanaulipa huu mkopo 100%.
 
Kwenye miti hakuna wajenzi. Aridhi ya Tanzania imejaa utajiri mkubwa sana huko chini.cha ajabu tunashindwa kuutumia.wahuni wanakuja wanachimba wanatuachia mishimo
 
Kwani huduma za afya ni mambo ya Kimuungano?

Yaani tunakopa Tanzania Bara halafu Hospitali inaenda kujengwa Zanzibar?

Deni tunakuja kulipa Tanzania Bara 🙆

It's unfair aisee 🙌
Hii ni sawa, pesa imekopwa na muungano sio Tanganyika, na kwa vile TRA kuna Kodi inakusanya Zenj na kuziweka hazina BOT dar, hii ni sawa tu
 
Seriously.
Zanzibar Kuna madaktari' bingwa wa kuhudumia hosp ya rufaa.
Sijawahi kuona daktari bingwa mpemba, wapemba niliozoea Mimi Ni wavuvi, wachuuzi, waganga Ila daktari au injinia bado kwa kweli.
 
Back
Top Bottom