Tafadhali rudia hilo swali kwa herufi kubwa!!!"Hyundai Heavy Industries said in April it had reached a deal to develop 5 0000 hectares of Russian farmland, to produce 60 000 tons of corn and beans annually by 2014."
http://www.iol.co.za/index.php?set_id=1&click_id=87&art_id=nw20090924084905703C603651
Russia ya Putin yauzwa kwa Wakorea?
Kwa taarifa yako Kikwete hajafanya lolote na ndiyo maana unayasikia malalamiko toka kona mbali mbali hata viongozi wa kidini kwamba nchi inaeleka pabaya. Kwa hiyo hakuna chochote unachoweza kuandika hapa kilichofanywa na Kikwete hata yale aliyoahidi kwenye kampeni zake ameyashindwa kuyatimiza.
Dar Es Salaam,
Mkuu wangu habari nyingine sasa hivi unachekesha!..
huwezi kumsimamisha JK na Nyerere ktk uringo mmoja pamoja na kwamba huyapokei maendeleo ya Nyerere. Na kikubwa zaidi ni ujinga mkubwa kujaribu kulinganisha mfumo wa Ujamaa kiuchumi na ule wa Kibepari ktk kukufua uchumi ukitazama sura ya kiongozi aliyekuwepo madarakani..
Kifupi kwa JK uchumi unajiendesha wenyewe yaani kamavile mkulima wa ndizi anavyosubiri mvua ikinyesha apate mazao mazuri..Kila tunachovuna leo mbegu zake zilipandwa na Mwalimu..Hata huyo Mklapoa wanaemsifia kwangu mimi ni vichekesho vitupu sana sana kajenga daraja to no where!.
Kapewa sifa kubwa za kufufua uchumi nchini kwa mkakati wa ukusanyaji kodi, well ikiwa Utawala wa Nyerere kila kitu kilikuwa chini ya serikali mlitaka serikali hiyo hiyo ijitoze kodi?..Sasa unakuta ktk kilimo pato la serikali lilikuwa let's say billioni 5 with zero tax wakati wa Nyerere, na ukasifiwa wakati wa Mkapa wakati mauzo yalikuwa Billioni 5 na mpato la serikali toka kodi ni millioni 200..Ikahesbiwa kwamba Mkapa ameweza kukusanya kodi ya millioni 200 toka zero ya Nyerere. Kwa nini isihesabiwe pato zima la mauzo kuwa ndio pato (kodi) la serikali..
Moja kubwa ambalo wachumi wote wanakubaliana ni kwamba chini ya Ujamaa ni vigumu kwa uchumi kukua kwani serikali inakuwa na limit ya invest zake hasa ktk maswala ambayo sii ya kibiashara wakati watu binafsi wanakuwa huru na kuchukua risk kuinvest ktk miradi ambayo kuna demand..ni ktk udogo wa retails na kasi ya ununuzi ndani ndio hu dictate production au imports ambazo leo hii tunajisifia ktk Ubepari na sii Uongozi wa Mkapa au JK.. They have done nothing other than kuwezesha (Policies and Regulations) ili Ubeparii upate ufanye kazi..kitu ambacho hakikuwa choice ya Mwinyi, Mkapa wala JK isipokuwa ni hali uchumi dunani..
Umezungumzia mengi sana kuhusu Dar kabla ya Uhuru ni vicxhekesho vitupu, sijui kama unakumbuka hata ile ile barabara kubwa ya Morogoro toka mjini ilikuwa vipi, huo Uwanja wetu wa ndege, viwanda vyua nguo, viatu na zana za kilimo, meli za usafiri.. magari na kadhalika...Kenya ilikuwa ndio main supplier wetu kwa kila kitu, tukisubiri sinema za week za Blueband na Surf Mwamba...hayo sii maisha ya kujisifia hata kidogo..
there is nothing bad with this deal tusipinge kila kitu tuuuuuu...
ardhi hawawezi kubeba ...and afteral tutauza workforce yetu na ujuzi juu..watajenga infrastructure na kutumia zetu ....hata ile deal ya saudi arabia frsh...tusikalie uchumi...
Ni kipi ambacho sisi hatuwezi kukifanya kati ya hivyo na kwanini hatuwezi?
Kwani wewe upo Tanzania?Njoo Tanzania ukifanye, si umeshajifunza mengi huko uliko? unapiga kelele wakati wewe Tanzania yenyewe umeikacha, ungeishi hapa uone kama ungeipata hiyo exposure inayokufanya kila kitu uone ni sahali tu.
Dar Es Salaam,
Mkuu hakuna mtu anayesema hakushindwa...mbona unakuwa na upeno mdogo sana mshikaji.. Ujamaa kama mfumo ndio sababu za kushindwa kwake..walishindwa Wachina, Warusi, na nchi nyinginezo ambazo zote zilikuwa na viongozi bora zaidi ya huyo Nyerere. Hii ikiwa na maana hata Reagan baba wa Ubepari au Clinton wangefuata Ujamaa wasingeweza yafanya waliyoyafanya.
Lakini Mkapa, JK na wengineo wote wanashindwa katika mfumo ambao nchi kibao duniani zinafanikiwa!..
Kwa hiyo, unachojaribu kufafanisha ni pera na fenesi, havifanani hata kidogo.
Just as a corection and for the record: Hakuna mahali Nyerere alisema ujamaa ulishindwa. Ukiipata hiyo quote naomba uiweke hapa. Acha mazoea ya kutunga vitu vya uongo.Ujamaa wa Nyerere ndio ulioshindwa, usiufananishe na China na Urusi wao wanasababu zao zilizowashinda, besides you are talking about super powers.
Kuna kama akina Sweden, mbona inasemekana:
Sweden:
"The Highest Standard of Living Anywhere"
The beautiful nation of Sweden has the highest standard of living in the world. Its blossoming industry ranks far higher than the United States in most measurements. Life in Socialist Sweden is free of homeless, reckless, crazy people. In spite of the 55% income tax, Sweden has a history of strong family values, the most progressive education system in the world and extremely low unemployment.
Sweden boasts a new Third Way between Capitalism and Socialism, making it a great example of new age Collectivism. It's superior unionization and strong economy will ensure that it will be a Socialistic success story for years to come.
If you say Sweden, I say "Socialism WORKS!"
Hii inamaanisha si Ujamaa kama mfumo ndio ulioshindwa ni Nyerere's Ujamaa ulioshindwa. Total Failure, he admitted to have failed in his socialism, why sisi tutetee kitu alichokubali mwenyewe kuwa kashindwa?
Dar Es Salaaam,
Mkuu unazungumza vitu gani lakini?.. Sweden hawakufuata Ujamaa ktk Uchumi wake isipokuwa huduma zao kwa wananchi kama vile leo hii mrengo mzima wa chama cha Demokratic (Marekani) au Kushoto uwe ndio dira ya Taifa lao..Mrengo haupingani na Ubepari ktk uzalishaji au njia kuu za uchumi wa nchi. Inaposemwa Sweden has the highest standard of living haina maana Sweden wana uchumi mzuri (the highest) kuliko nchi nyingine duniani..
Nyerere hakushindwa ktk mfumo wa ugawaji huduma kwa wananchi kama ilivyokuwa Sweden as at fact ndio sehemu anazosifiwa mwalimu.. Nyerere alishindwa sehemu ambazo zinafanana na kushindwa kwa China na Urusi yaani kukuza Uchumi wa nchi hizo..tena unapotumia jina la super power ndio kabisaaaa. sasa ikiwa nchi ni super power na zilishindwa kuendeleza uchumi wake iweje kinchi kidogo kama Tanzania kifanikiwe!
Mkandara,Dar Es salaam,
Mkuu utaweza pima ugawaji kwa kile kilichokuwepo. Sijui kama unaelewa maana ya kugawa.. Hata hivyo, Tanzania hatukuwa na kiwanda cha dawa ya mswaki wala hizo sabani unazozungumzia hivyo utagawa vipi?. Kenya ndio ilikuwa iki tu supply vitu vyote toka mkoloni na kuvunjika kwa EAC na kulipowekeana ngumu na Kenya tukajikuta hatuna kitu ndipo mikakati ya ujenzi wa mali zetu wenyewe ulipoanza..Na huwezi kuzungumzia ugawaji wa sabuni na dawa za mswaki zinzotengenezwa na mafuta ya nguruwe tok kenya kuwa ni maendeleo tena hasa wewe Ansar Sunni..kwi! kwi! kwi!
Kama ungekuwa mchuni mzuri ungegundua kwamba Mkoloni hakutuachia kitu zaidi ya distribution centre. Mkuu wangu wewe ni mmoja kati ya wale wanaoweza kumlaumu baba yao kwa umaskini wake na kujaribu kufananisha nmaisha yao na yale ya tajiri, Mzazi mzuri na mwenye malezi bora sio lazima awe yule mwenye friji open..
Kama bado huelewi hili basi nakuacha na wazushi wenzako mnaowezana.
Just as a corection and for the record: Hakuna mahali Nyerere alisema ujamaa ulishindwa. Ukiipata hiyo quote naomba uiweke hapa. Acha mazoea ya kutunga vitu vya uongo.
Ni kipi ambacho sisi hatuwezi kukifanya kati ya hivyo na kwanini hatuwezi?
there is nothing bad with this deal tusipinge kila kitu tuuuuuu...
ardhi hawawezi kubeba ...and afteral tutauza workforce yetu na ujuzi juu..watajenga infrastructure na kutumia zetu ....hata ile deal ya saudi arabia frsh...tusikalie uchumi...
Dar Es salaam,
Mkuu utaweza pima ugawaji kwa kile kilichokuwepo. Sijui kama unaelewa maana ya kugawa.. Hata hivyo, Tanzania hatukuwa na kiwanda cha dawa ya mswaki wala hizo sabani unazozungumzia hivyo utagawa vipi?. Kenya ndio ilikuwa iki tu supply vitu vyote toka mkoloni na kuvunjika kwa EAC na kulipowekeana ngumu na Kenya tukajikuta hatuna kitu ndipo mikakati ya ujenzi wa mali zetu wenyewe ulipoanza..Na huwezi kuzungumzia ugawaji wa sabuni na dawa za mswaki zinzotengenezwa na mafuta ya nguruwe tok kenya kuwa ni maendeleo tena hasa wewe Ansar Sunni..kwi! kwi! kwi!
Kama ungekuwa mchuni mzuri ungegundua kwamba Mkoloni hakutuachia kitu zaidi ya distribution centre. Mkuu wangu wewe ni mmoja kati ya wale wanaoweza kumlaumu baba yao kwa umaskini wake na kujaribu kufananisha nmaisha yao na yale ya tajiri, Mzazi mzuri na mwenye malezi bora sio lazima awe yule mwenye friji open..
Kama bado huelewi hili basi nakuacha na wazushi wenzako mnaowezana.