Korea yanunua ardhi "kwa mkopo" Tanzania, Serikali yasita kuthibitisha

Korea yanunua ardhi "kwa mkopo" Tanzania, Serikali yasita kuthibitisha

Mkuu Bubu salam,
Wameuziwa Aridhi au Wamekodishwa Aridhi? Watauziwa au Watakodishwa Aridhi?
Kwa uelewa wangu Tanzania hatuna Sheria ya kuuza Aridhi.niweke sawa kama nimekosea.
 
Kwa taarifa yako Kikwete hajafanya lolote na ndiyo maana unayasikia malalamiko toka kona mbali mbali hata viongozi wa kidini kwamba nchi inaeleka pabaya. Kwa hiyo hakuna chochote unachoweza kuandika hapa kilichofanywa na Kikwete hata yale aliyoahidi kwenye kampeni zake ameyashindwa kuyatimiza.

Unayasikia malalamiko kwa wakati huu una magazeti kibao, tena ya binafsi. Una TV kibao tena za binafsi, una maredia kibao tena ya binafsi, una mitandao ya simu kibao tena binafsi, una huo mdude mbele yako unaokufikisha kulumbana na mimi.

Subutu, wakati wa Nyerere, magazeti mawili au matatu tu kwa siku tena yote ya Serikali. TV hakuna kabisa, redio binafsi sahau, magazeti binafsi sahau.

Mimi nakuchallenge weka aliyofanya Nyerere utakuta hakuna.

Sasa kama yote hayo juu yalikuwa hakuna ungekwenda wapi kuusikilizia uozo wa Tanzania wa wakati huo? ukisema tu, unafichwa, hata mkeo unamuogopa anaweza kuwa ni shushushu. Unepata fursa ya kukutana nasi tuliokuwepo wakati huo, sikiliza uambiwalo. Record za Nyerere utaziona za kusifiwa tu (za humu ndani) kwa sababu hakuna gazeti wala nini la binafsi wakati wake. Kumbukumbu zimo vchwani mwetu. Ambae hakuwepo atabisha mpaka asubuhi kwani hayajui.
 
Last edited by a moderator:
there is nothing bad with this deal tusipinge kila kitu tuuuuuu...

ardhi hawawezi kubeba ...and afteral tutauza workforce yetu na ujuzi juu..watajenga infrastructure na kutumia zetu ....hata ile deal ya saudi arabia frsh...tusikalie uchumi...
 
Dar Es Salaam,
Mkuu wangu habari nyingine sasa hivi unachekesha!..
huwezi kumsimamisha JK na Nyerere ktk uringo mmoja pamoja na kwamba huyapokei maendeleo ya Nyerere. Na kikubwa zaidi ni ujinga mkubwa kujaribu kulinganisha mfumo wa Ujamaa kiuchumi na ule wa Kibepari ktk kukufua uchumi ukitazama sura ya kiongozi aliyekuwepo madarakani..

Kifupi kwa JK uchumi unajiendesha wenyewe yaani kamavile mkulima wa ndizi anavyosubiri mvua ikinyesha apate mazao mazuri..Kila tunachovuna leo mbegu zake zilipandwa na Mwalimu..Hata huyo Mklapoa wanaemsifia kwangu mimi ni vichekesho vitupu sana sana kajenga daraja to no where!.
Kapewa sifa kubwa za kufufua uchumi nchini kwa mkakati wa ukusanyaji kodi, well ikiwa Utawala wa Nyerere kila kitu kilikuwa chini ya serikali mlitaka serikali hiyo hiyo ijitoze kodi?..Sasa unakuta ktk kilimo pato la serikali lilikuwa let's say billioni 5 with zero tax wakati wa Nyerere, na ukasifiwa wakati wa Mkapa wakati mauzo yalikuwa Billioni 5 na mpato la serikali toka kodi ni millioni 200..Ikahesbiwa kwamba Mkapa ameweza kukusanya kodi ya millioni 200 toka zero ya Nyerere. Kwa nini isihesabiwe pato zima la mauzo kuwa ndio pato (kodi) la serikali kwani chini ya Ujamaa mauzo yote ndio pato la serikali kama vile kodi kuwa pato ktk mfumo wa kibepari..

Moja kubwa ambalo wachumi wote wanakubaliana ni kwamba chini ya Ujamaa ni vigumu kwa uchumi kukua kwani serikali inakuwa na limit ya invest zake hasa ktk maswala ambayo sii ya kibiashara wakati watu binafsi wanakuwa huru na kuchukua risk kuinvest ktk miradi ambayo kuna demand..ni ktk udogo wa retails na kasi ya ununuzi ndani ndio hu dictate production au imports ambazo leo hii tunajisifia ktk Ubepari na sii Uongozi wa Mkapa au JK.. They have done nothing other than kuwezesha (Policies and Regulations) ili Ubeparii upate ufanye kazi..kitu ambacho hakikuwa choice ya Mwinyi, Mkapa wala JK isipokuwa ni hali uchumi dunani..

Umezungumzia mengi sana kuhusu Dar kabla ya Uhuru ni vicxhekesho vitupu, sijui kama unakumbuka hata ile ile barabara kubwa ya Morogoro toka mjini ilikuwa vipi, huo Uwanja wetu wa ndege, viwanda vyua nguo, viatu na zana za kilimo, meli za usafiri.. magari na kadhalika...Kenya ilikuwa ndio main supplier wetu kwa kila kitu, tukisubiri sinema za week za Blueband na Surf Mwamba...hayo sii maisha ya kujisifia hata kidogo..
 
Dar Es Salaam,
Mkuu wangu habari nyingine sasa hivi unachekesha!..
huwezi kumsimamisha JK na Nyerere ktk uringo mmoja pamoja na kwamba huyapokei maendeleo ya Nyerere. Na kikubwa zaidi ni ujinga mkubwa kujaribu kulinganisha mfumo wa Ujamaa kiuchumi na ule wa Kibepari ktk kukufua uchumi ukitazama sura ya kiongozi aliyekuwepo madarakani..

Kifupi kwa JK uchumi unajiendesha wenyewe yaani kamavile mkulima wa ndizi anavyosubiri mvua ikinyesha apate mazao mazuri..Kila tunachovuna leo mbegu zake zilipandwa na Mwalimu..Hata huyo Mklapoa wanaemsifia kwangu mimi ni vichekesho vitupu sana sana kajenga daraja to no where!.
Kapewa sifa kubwa za kufufua uchumi nchini kwa mkakati wa ukusanyaji kodi, well ikiwa Utawala wa Nyerere kila kitu kilikuwa chini ya serikali mlitaka serikali hiyo hiyo ijitoze kodi?..Sasa unakuta ktk kilimo pato la serikali lilikuwa let's say billioni 5 with zero tax wakati wa Nyerere, na ukasifiwa wakati wa Mkapa wakati mauzo yalikuwa Billioni 5 na mpato la serikali toka kodi ni millioni 200..Ikahesbiwa kwamba Mkapa ameweza kukusanya kodi ya millioni 200 toka zero ya Nyerere. Kwa nini isihesabiwe pato zima la mauzo kuwa ndio pato (kodi) la serikali..

Moja kubwa ambalo wachumi wote wanakubaliana ni kwamba chini ya Ujamaa ni vigumu kwa uchumi kukua kwani serikali inakuwa na limit ya invest zake hasa ktk maswala ambayo sii ya kibiashara wakati watu binafsi wanakuwa huru na kuchukua risk kuinvest ktk miradi ambayo kuna demand..ni ktk udogo wa retails na kasi ya ununuzi ndani ndio hu dictate production au imports ambazo leo hii tunajisifia ktk Ubepari na sii Uongozi wa Mkapa au JK.. They have done nothing other than kuwezesha (Policies and Regulations) ili Ubeparii upate ufanye kazi..kitu ambacho hakikuwa choice ya Mwinyi, Mkapa wala JK isipokuwa ni hali uchumi dunani..

Umezungumzia mengi sana kuhusu Dar kabla ya Uhuru ni vicxhekesho vitupu, sijui kama unakumbuka hata ile ile barabara kubwa ya Morogoro toka mjini ilikuwa vipi, huo Uwanja wetu wa ndege, viwanda vyua nguo, viatu na zana za kilimo, meli za usafiri.. magari na kadhalika...Kenya ilikuwa ndio main supplier wetu kwa kila kitu, tukisubiri sinema za week za Blueband na Surf Mwamba...hayo sii maisha ya kujisifia hata kidogo..

Huo Ujamaa wenyewe ulimshinda Nyerere kuutekeleza, hakujuwa namna zake za kuuimplement na ukamshinda:

After ten years in office, Nyerere admitted failure. Inequality among its cities, a life of poverty "is the experience of the majority of our citizens," he said. The country was experiencing shortages of cooking oil and gasoline. Hotels in his capital, Dar es Salaam, were falling into disrepair. There had been a movement of people to the big city and in the capital street gangs were coming into existence. Nyerere deplored his country's continued dependence on foreign assistance and its deficit financing. It was Nyerere's socialism that had failed. The nation suffered from a bloated government bureaucracy. Farmers had resisted government policies and the government-created communal villages and farming. In 1983 Nyerere gave up on his socialist dream and declared that the government would again permit private enterprise in farming, including companies investing in private commercial farms. Nyerere agreed to cut government subsidies and to cut state run organizations. Faced with famines and mass starvations, Nyerere resigned in 1985, after twenty-four years as his nation's president. And the new regime that took office began dismantling government controls over the economy.
http://www.fsmitha.com/h2/ch34-tan.htm
 
there is nothing bad with this deal tusipinge kila kitu tuuuuuu...

ardhi hawawezi kubeba ...and afteral tutauza workforce yetu na ujuzi juu..watajenga infrastructure na kutumia zetu ....hata ile deal ya saudi arabia frsh...tusikalie uchumi...

Ni kipi ambacho sisi hatuwezi kukifanya kati ya hivyo na kwanini hatuwezi?
 
Dar Es Salaam,
Mkuu hakuna mtu anayesema hakushindwa...mbona unakuwa na upeo mdogo sana mshikaji.. Ujamaa kama mfumo ndio sababu za kushindwa kwake..walishindwa Wachina, Warusi, na nchi nyinginezo ambazo zote zilikuwa na viongozi bora zaidi ya huyo Nyerere. Hii ikiwa na maana hata Reagan baba wa Ubepari au Clinton wangefuata Ujamaa wasingeweza yafanya waliyoyafanya.
Lakini Mkapa, JK na wengineo wote wanashindwa katika mfumo ambao nchi kibao duniani zinafanikiwa!..
Kwa hiyo, unachojaribu kufafanisha ni pera na fenesi, havifanani hata kidogo.
 
Ni kipi ambacho sisi hatuwezi kukifanya kati ya hivyo na kwanini hatuwezi?

Njoo Tanzania ukifanye, si umeshajifunza mengi huko uliko? unapiga kelele wakati wewe Tanzania yenyewe umeikacha, ungeishi hapa uone kama ungeipata hiyo exposure inayokufanya kila kitu uone ni sahali tu.
 
Kwani wewe upo Tanzania?
 
Dar Es Salaam,
Mkuu hakuna mtu anayesema hakushindwa...mbona unakuwa na upeno mdogo sana mshikaji.. Ujamaa kama mfumo ndio sababu za kushindwa kwake..walishindwa Wachina, Warusi, na nchi nyinginezo ambazo zote zilikuwa na viongozi bora zaidi ya huyo Nyerere. Hii ikiwa na maana hata Reagan baba wa Ubepari au Clinton wangefuata Ujamaa wasingeweza yafanya waliyoyafanya.
Lakini Mkapa, JK na wengineo wote wanashindwa katika mfumo ambao nchi kibao duniani zinafanikiwa!..
Kwa hiyo, unachojaribu kufafanisha ni pera na fenesi, havifanani hata kidogo.

Ujamaa wa Nyerere ndio ulioshindwa, usiufananishe na China na Urusi wao wanasababu zao zilizowashinda, besides you are talking about super powers.

Kuna kama akina Sweden, mbona inasemekana:

Sweden:

"The Highest Standard of Living Anywhere"

The beautiful nation of Sweden has the highest standard of living in the world. Its blossoming industry ranks far higher than the United States in most measurements. Life in Socialist Sweden is free of homeless, reckless, crazy people. In spite of the 55% income tax, Sweden has a history of strong family values, the most progressive education system in the world and extremely low unemployment.

Sweden boasts a new Third Way between Capitalism and Socialism, making it a great example of new age Collectivism. It's superior unionization and strong economy will ensure that it will be a Socialistic success story for years to come.

If you say Sweden, I say "Socialism WORKS!"

Hii inamaanisha si Ujamaa kama mfumo ndio ulioshindwa ni Nyerere's Ujamaa ulioshindwa. Total Failure, he admitted to have failed in his socialism, why sisi tutetee kitu alichokubali mwenyewe kuwa kashindwa?
 
Just as a corection and for the record: Hakuna mahali Nyerere alisema ujamaa ulishindwa. Ukiipata hiyo quote naomba uiweke hapa. Acha mazoea ya kutunga vitu vya uongo.
 
Dar Es Salaaam,

Mkuu unazungumza vitu gani lakini?.. Sweden hawakufuata Ujamaa ktk Uchumi wake isipokuwa huduma zao kwa wananchi kama vile leo hii mrengo mzima wa chama cha Demokratic (Marekani) au Kushoto uwe ndio dira ya Taifa lao..Mrengo haupingani na Ubepari ktk uzalishaji au njia kuu za uchumi wa nchi. Inaposemwa Sweden has the highest standard of living haina maana Sweden wana uchumi mzuri (the highest) kuliko nchi nyingine duniani..

Nyerere hakushindwa ktk mfumo wa ugawaji huduma kwa wananchi kama ilivyokuwa Sweden as at fact ndio sehemu anazosifiwa mwalimu.. Nyerere alishindwa sehemu ambazo zinafanana na kushindwa kwa China na Urusi yaani kukuza Uchumi wa nchi hizo..tena unapotumia jina la super power ndio kabisaaaa. sasa ikiwa nchi ni super power na zilishindwa kuendeleza uchumi wake iweje kinchi kidogo kama Tanzania kifanikiwe!
 
Nyerere hakushindwa kutoa huduma? unasema nini? hata dawa ya meno tulikuwa hatuna, basic food items hakuna, watu taabani, hohe hahe, leo unasema nini? Kandambili ikibidi tuvae matairi. Magari yanayotembea jumapili ni yale tu ya wenye kujuwana na wakubwa wapewe vibali (kupalia rushwa).

Its blossoming industry ranks far higher than the United States in most measurements. Life in Socialist Sweden is free of homeless, reckless, crazy people. In spite of the 55% income tax, Sweden has a history of strong family values, the most progressive education system in the world and extremely low unemployment.

Hata sijui katika hili unachopinga ni nini? Nyerere socialism failed, totally! hakuna hata kusema sehemu fulani kulikuwa na afadhali.

afadhali katika huduma? watu wakihamishwa kwa nguvu kutoka vijiji vyao vya asili na kupelekwa kuanzisha vijiji vya ujamaa sehemu ambazo hazina huduma yoyote ile ya kibinadam, walioliwa na Simba haya, waliogongwa na nyoka haya, waliokosa huduma za matibabu wakafia hukohuko maporini haya. Halafu unanambia Nyerere anasifiwa kwa usambazaji huduma? au tuna maana tofauti za huduma?

Dar Es salaam,
Mkuu utaweza pima ugawaji kwa kile kilichokuwepo. Sijui kama unaelewa maana ya kugawa.. Hata hivyo, Tanzania hatukuwa na kiwanda cha dawa ya mswaki wala hizo sabani unazozungumzia hivyo utagawa vipi?. Kenya ndio ilikuwa iki tu supply vitu vyote toka mkoloni na kuvunjika kwa EAC na kulipowekeana ngumu na Kenya tukajikuta hatuna kitu ndipo mikakati ya ujenzi wa mali zetu wenyewe ulipoanza..Na huwezi kuzungumzia ugawaji wa sabuni na dawa za mswaki zinzotengenezwa na mafuta ya nguruwe tok kenya kuwa ni maendeleo tena hasa wewe Ansar Sunni..kwi! kwi! kwi!

Kama ungekuwa mchuni mzuri ungegundua kwamba Mkoloni hakutuachia kitu zaidi ya distribution centre. Mkuu wangu wewe ni mmoja kati ya wale wanaoweza kumlaumu baba yao kwa umaskini wake na kujaribu kufananisha nmaisha yao na yale ya tajiri, Mzazi mzuri na mwenye malezi bora sio lazima awe yule mwenye friji open..
Kama bado huelewi hili basi nakuacha na wazushi wenzako mnaowezana.
 
Last edited:

Mkandara,
Nakushauri ukampigie mbuzi gitaa. Unaweza kushangaa akianza kucheza mayenu.
 
Just as a corection and for the record: Hakuna mahali Nyerere alisema ujamaa ulishindwa. Ukiipata hiyo quote naomba uiweke hapa. Acha mazoea ya kutunga vitu vya uongo.

Ubepari tulioukumbatia ndiyo umefanikiwa na sasa uchumi wa Tanzania unapaa kwa kasi ya ajabu!...LOL! Jasusi hii njemba itaandika chochote kile bila kujali hata kama kina ukweli wowote ule.
 
Ni kipi ambacho sisi hatuwezi kukifanya kati ya hivyo na kwanini hatuwezi?

Mkuu MM,

Heshima kwako mkuu!

Kwa muda mrefu sana, pengine tokea tupate uhuru, hilo ndilo swali ambalo limekuwa likitushinda kujibu. Ni ama hatutaki kujishughulisha nalo, au ni kweli tumeamua kushindwa kuitumia ardhi na maji mengi tuliyonayo ipasavyo.

Ardhi na maji tele, vimeshindwa kutumika kupunguza umasikini na kukuza uchumi kwa taifa ambalo 80% ya watu wake wako vijijini. Kwa nini, wakati huu ambapo teknolojia ya kilimo ipo kila mahali?

Watanzania ni watu wenye character ya pekee mno inapokuja kwenye ujenzi wa uchumi. Tunapenda njia za mkato, maneno mengi, na kulaumu wale wanaoonekana kutuzidi au kutaka kutuzidi.

Wenzetu wakitumia advantage ya kuwa jirani na Mlima Kilimanjaro, tunalalamika, wakati sisi hatuitangazii dunia ije kuupanda.

Wakati upatikanaji wa nishati ya umeme ni mzozo, Ngeleja anasema "hatuwezi kuangalia uranium kwa sasa kwa kuwa mahitaji yetu ni madogo mno kuweza kuhitaji umeme wa uranium..." hii statement inatioka kwa waziri. Hii ina maana kuwa, wala hafikirii kuuza umeme wa ziada, hadi hapo Kenya au Uganda itakapotaka kutuuzia umeme wa Uranium yao kama itakuwepo.

Watanzania wengi hatupendi kusoma na kupata maarifa mapya, ila huwa tunatafuta njia za mkato za kujitajirisha, na ndiyo maana wengi tunaangukia kwenye utapeli, tunaghushi vyeti, tunauza kura zetu, na hatupendi kufikiria na kujaribu kutumia nafasi zilizopo kujijengea uwezo. Ndiyo maana ukianzisha biashara ya maandazi leo hapa, kesho kutakuwa na wenzio watatu wanauza maandazi.

Nahisi tumekuwa so obsessed na mafaniko ya wenzetu kiasi kwamba tunasahau kuwa hata wao walianzia pagumu sana kufikia hapo walipo.

Kwa hali ilivyo, mimi bado ninaamini kuwa matumizi bora ya ardhi ndiyo suluhisho la nguvu la kuweza kubadilisha hali ya uchumi wa taifa hili...japo kuna wenzangu wanaosema kuuwa ni service industry ndiyo inayoweza kufanya hili. Kilimo bado hakina ushindani mkali duniani, hususan kwa soko la Afrika.

Nilikuwa Antwerp mwaka juzi, nikaona ndizi mbichi, nyanya na mananasi yanashushwa toka melini toka West Africa...nilihuzunika sana kuona hata hili sisi hatuwezi, na tumeshindwa kwa miongo kadhaa iliyopita. Kwa nini tumeshindwa? Kwa nini hatuwezi kutumia maji ya mto Ruvu, Ruaha, Rufiji Malagarasi, Ziwa Victoria kupata mazao, hadi wageni watake kufanya hivyo?
 
there is nothing bad with this deal tusipinge kila kitu tuuuuuu...

ardhi hawawezi kubeba ...and afteral tutauza workforce yetu na ujuzi juu..watajenga infrastructure na kutumia zetu ....hata ile deal ya saudi arabia frsh...tusikalie uchumi...

Unajidanganya, Mkuu. Eneo la ardhi ni kubwa mno na impact yake kwenye maisha ya wanakijiji wetu bado haijawekwa wazi. Angalia wananchi wa kawaida wanavyonyanyasika katika sehemu nyingi tulizotoa kwa wageni ( machimbo, mbuga za wanyama, mahoteli ya kitalii n.k). Mazao watakayolima ni kwa ajili ya soko lao. Uharibifu wowote watakaoufanya wakati wa kuzalisha hayo mazao ni mzigo wetu na vizazi vijavyo. Moja ya sababu ya kukimbilia kwetu ni kukwepa masharti magumu ya mazingira yaliyopo nchini mwao. Hapa wanajua wataweza kufanya lolote bila mtu kujali wala kuuliza. Hizo infrastructure zitawekwa kwa ajili yao na zitakidhi mahitaji yao wakati wapo. Hawana sababu ya kujenga kitu cha kudumu. Hawaji kwa sababu ati wanatupenda. Hapana, huu mradi haustahili.

Amandla......
 
Dar Es salaam,
Mkuu utaweza pima ugawaji kwa kile kilichokuwepo. Sijui kama unaelewa maana ya kugawa.. Hata hivyo, Tanzania hatukuwa na kiwanda cha dawa ya mswaki wala hizo sabani unazozungumzia hivyo utagawa vipi?. Kenya ndio ilikuwa iki tu supply vitu vyote toka mkoloni na kuvunjika kwa EAC na kulipowekeana ngumu na Kenya tukajikuta hatuna kitu ndipo mikakati ya ujenzi wa mali zetu wenyewe ulipoanza..Na huwezi kuzungumzia ugawaji wa sabuni na dawa za mswaki zinzotengenezwa na mafuta ya nguruwe tok kenya kuwa ni maendeleo tena hasa wewe Ansar Sunni..kwi! kwi! kwi!

Kama ungekuwa mchuni mzuri ungegundua kwamba Mkoloni hakutuachia kitu zaidi ya distribution centre. Mkuu wangu wewe ni mmoja kati ya wale wanaoweza kumlaumu baba yao kwa umaskini wake na kujaribu kufananisha nmaisha yao na yale ya tajiri, Mzazi mzuri na mwenye malezi bora sio lazima awe yule mwenye friji open..
Kama bado huelewi hili basi nakuacha na wazushi wenzako mnaowezana.

Kwa hiyo usishangae kuwa tulikuwa tukitazama senema za Omo na Surf, wakati ule, uelewe ile ilikuwa ni promosheni ya bidhaa zao.

Sisi hatukuwa koloni, tulikuwa ni protectorate. Wakulaumiwa hapo ni nani? na baada ya Nyerere kuwa madarakani na kumwagiwa mifedha na hao ''wakoloni'' na kutaifisha, alifanya nini? mpaka anaondoka, baada ya miaka mingapi vile? still hatuna dawa za meno wala vyakula basic, katuwacha omba omba.

Nyinyi ndio wale, mnaofikiri kuwa friji ni ansa, kwa kuwa ndiyo upumbavu mliopandikizwa vichwani mwenu.

Wewe ndie mzushi unaetaka ku-force kuwa Nyerere kafanya ambacho hajakifanya na kukubali kwa kauli yake kuwa kashindwa na anang'atuka.

Kwa nini uzuwe? ukijas hapa na uzushi ujuwe tupo tuliokuwepo wakati huo, kama kuna zuri lake (comedy) tutalisema na kama hana zuri vile vile tutalisema. Msitake kuzuwa!
 
Back
Top Bottom