Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuondoa kwenye nafasi yake Afisa Ardhi wa Wilaya ya Korogwe, Nyambega Kichele, kwa kutokufuata utaratibu wa kutoa hati za ardhi na kusababisha migogoro.
Waziri Ndejembi amechukua hatua hiyo wakati wa ziara yake ya siku moja, ambapo amesema ni vema maafisa ardhi wakafuata haki na weledi ambao hautasababisha usumbufu kwa jamii.
Waziri Ndejembi amechukua hatua hiyo wakati wa ziara yake ya siku moja, ambapo amesema ni vema maafisa ardhi wakafuata haki na weledi ambao hautasababisha usumbufu kwa jamii.