Korogwe: Waziri Ndejembi amng’oa Afisa Ardhi kwa kusababisha migogoro

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuondoa kwenye nafasi yake Afisa Ardhi wa Wilaya ya Korogwe, Nyambega Kichele, kwa kutokufuata utaratibu wa kutoa hati za ardhi na kusababisha migogoro.

Waziri Ndejembi amechukua hatua hiyo wakati wa ziara yake ya siku moja, ambapo amesema ni vema maafisa ardhi wakafuata haki na weledi ambao hautasababisha usumbufu kwa jamii.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa nini mtu aliyeshindwa kazi yake anahamishwa badala ya kufukuzwa kazi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…