William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji.
Mo akaona huyu ndio anayefaa sasa. Kwasababu viongozi hawakupata cha juu zikaanza figisu.
Kuchonganishwa na baadhi wachezaji na viongozi hasa waliokuwa wanaanzia bench.
Mgunda akawa anapata shida sana kufanya sub. Zengwe likakua.
Baadae bodi kwa Wingi wao wakamkataa. Kuwa hawezi kuwakontrol wachezaji wakubwa. Hasa chama, Na Okra. Ikaonekana Chama ndio anaongoza Timu, Anampangia kikosi. Wakamtema.
Hapa Huyu kocha mpya. Bodi waliongea nae. Vile vile cha juu wakaanza. Gharama ikawa juu. Wakataka walete mwingine.
Mo akawasha simu akaongea na huyu. Baadae akawaambia tu anakuja. Hivyo asitegemee njia nyepesi simba.