Kosa gani la kifedha au kiuchumi ulilifanya ukajutia?

Kutumia 70m kwa miezi miwili tu, ikaniacha nimeongezeka uzito. Najutia sasa nina kazi ya kupunguza uzito usiotoka kirahisi kama ulivyoingia πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯² na hela inaniuma nimepoteza pia.
 
Kutumia 70m kwa miezi miwili tu, ikaniacha nimeongezeka uzito. Najutia sasa nina kazi ya kupunguza uzito usiotoka kirahisi kama ulivyoingia πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯² na hela inaniuma nimepoteza pia.
Hongera Sana aisee...

Hongera kwa kuweza kupata 70m, kuitumia ndani ya miezi miwili na bado ukaweza kuwa poa Maisha yakaendelea huku ukiwa umebaki na majuto Tu.

Wengine uwehu ndio tungebaki nao na uchizi ungekuwa tayari umeshatukamata.
 
Ndugu yangu, utachanganyikiwa kwa mangapi hii dunia. Unakubaliana na hali. Bahati mbaya mimi si mzuri kwenye matumizi ya fedha yaani hili ni pungufu langu sijapata dawa yake.

Sipendi ila inatokea tu ni hivyo, hovyo kabisa ikija mambo ya fedha, mtoaji sana na natumia sana hata vitu nje ya bajeti. Nipe pole siyo hongera Mkuu.
 
Ndio, ilikuwa pole na hongera.

Pole kwa kupoteza, na hongera sana kwa kuwa na very high I.E, na utakuwa nayo Kubwa possibly...si Jambo dogo kuweza kukubali kukosea kwa kufanya matumizi yasiyo ya muhim ya 70m kwa mtu asiye tajiri Sana na Maisha yakaendelea.

Nadhan kukosa nidham kwenye matumizi ya fedha ni janga la wengi, Sema tunatofautiana kwa kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…