Kosa gani la kifedha au kiuchumi ulilifanya ukajutia?

Pole ulitumiaje yote hio?
Ahsante Mkuu AfricaUnited unafikiri hata kuna vya maana nilifanyia. Mtu ukiwa na matumizi mabaya hata uwe na kiasi gani ni yaleyale. Ila mwenye matumizi mazuri 10m inatosha kufanya kitu na ikaongezeka.

Natoa kwa watu wenye uhitaji nilikuwa, pia nikitoka natoka na kiasi kikubwa so unakuta unanunua vitu hukupangia. Nikaja kuta nimetumia hiyo, hapo ndiyo akili ikaingia. Sasa hivi sitoi, niko makini kiasi chake. My Daddy ameniambia ni kiasi kikubwa sana kwa muda mchache kutumia. Now nimetuliza ball.
 
Duh wanasema hela usipoipangia mahali pakwenda itatafuta pakwenda.
 
Duh wanasema hela usipoipangia mahali pakwenda itatafuta pakwenda.
Nimecheka kama mazuri, ulichosema ni kweli. Usipopangia na kuwa na nidhamu haki inabaki majuto ni mjukuu. Ila huo msemo wako, nataka unikae kichwani kwangu. Ahsante
 
Nimecheka kama mazuri, ulichosema ni kweli. Usipopangia na kuwa na nidhamu haki inabaki majuto ni mjukuu. Ila huo msemo wako, nataka unikae kichwani kwangu. Ahsante
Asante.ndomaana wanaomiliki hela ni wachache tulioshika ni wengi kwasababu wengi elimu ya fedha atuna.
 
Kwann mkuu?me nampango huo embu nishauri.
Sa unachukuaje mkopo kwenda kujenga boss!

moja ya ushauri unapohitaji kuchukua mkopo, pesa unayoomba iwe sawa na ulionayo au iwe ndogo kuliko ulonayo, ukiona dalili za kushindwa kulipa, unachukua pesa yako unalipa,

Pesa usikope kwenda kununua vitu ambavyo havizalishi, mfano samani za ndani, michango ya harusi au sherehe, kununu kiwanja nk. ✍️🧠

pesa inahitajika kuingia ktk mzunguko ili kuzalisha pesa zingine
 
Iwe ni uwekezaji, kununua kitu, matumizi mbalimbali ya fedha n.k ambapo ulifanya na baadaye ukaona hauna faida au ukakusababishia matatizo.

Tuelezee kwa kina tujifunze ili tusirudie makosa ya wengine.

View attachment 3317403
Nilichukua loan 2020 nika invest kwenye kutoa huduma serikalini, huwezi amini mpaka sasa sijalipwa
 
Kununua TVS King ni kama niliitupa pesa walifaidi vijana waendeshaji
 
Safi sana kama umegundua. Mwingine kiasi hicho kikipotea ni mazima umeanguka

Bado unanafasii inaonekana
 
☕️
 
Oya naomba milion basi nikagegede wikend hii....nimechoka nyeto ya mlenda vuguvugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…