Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Naona mtoa mada ameyavaa πŸ˜‚

Binafsi napenda pixel Japokuwa Samsung Ndio Simu yangu bora ya muda wote.

Ukiniwekea Samsung S series Vs pixel (Kwa kulinganisha matoleo ya kila mwaka husika) nitachagua Samsung S series

Ukiniwekea Samsung za matoleo mengine Vs pixel nitachagua pixel
 
Galaxy S 25 Ultra.
512 gb...
Samsung sio wa kufananishwa na hizo simu aisee..
 
Mtaje third party wa google pixel maelezo yasiwe mengi​
 
Pixel anatoa matoleo ya aina moja ,amepanga kwa series za number ,hizi ni flagship , mid-range .. Samsung makapi mengi ili mradi auze ,kama haya A series.

Pili ,Google bongo hakuna mpya πŸ˜‚πŸ˜‚so bado zinapiga mzigo ...Yangu hii inaenda mwak wa kitu ni 8 ni moto wakuotea mbele ,sio mpya ni refurbished yaani ila mziki ni mnene ..Watu na Samsung zao wamejaza picha zao huku, wanakuja kuchukua wapige picha.
 
Mabishano ya simu ipi kali hayana tofauti na mabishano ya dini ipi ya kweli.

Kila mtu anajaribu kutetea upande wake.

Anayetumia Samsung atasema Samsung ndio the best, anayetumia iPhone atasema iPhone is the best, anayetumia Google pixel atasema pixel is the best.
 
Galaxy S 25 Ultra.
512 gb...
Samsung sio wa kufananishwa na hizo simu aisee..
Naona ni wewe ndiye unawafananisha ,unaumia kwa kitu hakina facts si ucheck hata video review .
Hakuna binadamu anaweza kudanganya nafsi yake ,mimi nakuambia Pixel ni bora hata haya matoleo yajayo ya Samsung , pixel yuko mbele ya technology ...Kwa hiyo ,mtu aone hii nz uri halafu achague mbaya ,hakuna jaribu kutumia akili yako .
 
Vitu vingi kama VIP ambavyo Samsung hamna
 
Hakuna simu humo mazee ya kufananisha na Samsung naomba bidhaa za Samsung na LG ziheshimiwe..
 
 
Sawa, nakubali Google haina record ya kuuza simu Africa. Inahusiana vipi na mada yangu? Make it make sense

Pia ningependa kurekebisha makosa yako kwenye point unazotoa maana inaonesha huna uelewa jinsi market share inavyofanya kazi
Ngoja tuchambue point zako moja baada ya nyingine

1. Simu ikiuzwa kupitia third party haina utambulisho wa moja kwa moja ..

* Hili ni kosa kubwa na si kweli hata kidogo. Simu inabaki na utambulisho wa brand yake halisi bila kujali inauzwa na nani

2. Simu zinapata utambulisho kutokana na band zake za mitandao ili kuweza kusapaot nchi zinazokwenda sio zote

* Hili ni kosa kubwa sana na kuchanganya mada. Band za mitandao (network bands) ni masuala ya kiufundi yanayohusu utangamano wa simu na mitandao ya simu za mkononi katika nchi mbalimbali (2G, 3G, 4G au 5G frequencies). Haya hayana uhusiano wowote na utambulisho wa brand husika

3. Africa , Google pixel zinakuwa refurbished na kuflashiwa ila zinauzwa kinyemela kupitia third party.

* Hii ni sahihi, lakini haibadilishi kitu kuwa simu hizo bado zina utambulisho wa brand ya Google.

4. Ukinunua Iphone ya USA ,kutoka kwa mtu wa US ukaiflash ukatumia bongo ,haina market share ya bongo"

* Kosa Kabisa katika Dhana ya Market Share: Hii ndio sehemu kubwa ya makosa yako
Market Share huhesabiwa kwa idadi ya simu zinazotumika au zinazouzwa katika eneo fulani, bila kujali zilinunuliwa wapi awali au ziliingiaje sokoni (kama ziliingia rasmi au 'grey market').

Kampuni za utafiti wa masoko (kama vile IDC, Counterpoint Research, Canalys) hukusanya data ya mauzo au usafirishaji wa simu kwenda kwa watumiaji wa mwisho katika nchi au kanda fulani. Ikiwa iPhone iliyoflashiwa inatumika Tanzania, inachangia katika takwimu za "idadi ya iPhones zinazotumika Tanzania," na hivyo kuathiri market share ya Apple nchini humo. Jinsi inavyofika sokoni inaweza kuathiri takwimu za "mauzo rasmi," lakini haibadilishi uhalisia wa matumizi au uwepo wake sokoni

5. "Market haihesabiki kwa third party ila ni ile sales ya moja kwa ya Kampuni kwenda soko husika ,kama ni ulaya au Africa":

*Kosa tena kubwa sana katika Market Share: Huu ni uelewa potofu wa market share
Market Share haihesabiwi tu kwa "sales ya moja kwa moja" (direct sales) kutoka kwa kampuni. Kwa kweli, mauzo mengi ya simu duniani hufanywa kupitia third party vendors (maduka ya simu, maduka ya vifaa vya elektroniki, maduka ya mtandaoni, n.k.).
Data ya market share inakusanywa kwa kutazama jumla ya vitengo vilivyouzwa au kusafirishwa kwenda kwa watumiaji wa mwisho katika soko fulani, bila kujali ni njia gani vimetumika kuuza. Kampuni za utafiti hupata data hii kutoka kwa wazalishaji, wauzaji wa jumla, na wauzaji wa rejareja
 
Vitu vingi kama VIP ambavyo Samsung hamna
,Niambie mimi nakosa nn kwanza ..Nina picha kali ,niko mbele ya muda ''pure Android '', update bila ya tatizo la kuhofia mistari ,Nia uhuru wa kuondoa apps : kwanza simu inakuja na appa chache ....Kwa vile naweza kuvumilia update bila kuharibu utendaji wa simu basi nina hardwares strong na durable ....Mimi ni master wa AI kuliko wewe ,kwa vile AI imeshika hatamu basi niko mbele ...Naanza kupate update kuliko wewe wa vioo vya kijani kama damu ya predator.
 
Karibu kwenye flagship za samsung, utamkana Baraka Mkisi mara tatu kwenye sanduku la kura mkuu.
 
We mseng* S pen na SamsungDex tu hizi feature 2 zinatosha kumpiga K.O huyo pixel wako.

Pixel ni simu ya wanawake na vijana mabarobaro wanaozijaza simu zao miapp kama snapchat. Ila Samsung ni zaidi ya office
 
Hapa jibu si moja ,mbona unagueka a huelewi kama sigara nyota !?

Nani amekuja na point ya market share? Si nyie mmesema inauzwa kwenye others ...Unashindwa kunielewa hapa ,πŸ˜‚πŸ˜‚hizo simu units zake ni chache zinazozalishwa kulingana na soko lake...Huku bongo zinakuja kinyemele kupitia third party , automatically share yake na target ni ndogo since kiwandani ..

Umenielewa! Ukienda kuwauliza kuhusu soko hata Africa hawajui ila huku zinafika kupitia third party ,simu moja kama ilitoka dubai basi inahesabika share yake ni Dubai na warranty yake inaishie kule ...Ukiuziwa kupitia third party haitambuliki na haina warranty hata iwe mbovu utajua Mwenyewe.

Samsung sio bora kwa sababu wana makapi kwa ajili ya Africa ,hizi A Series ila Google pixel hawana makapi πŸ˜‚
 
Na ushapata uhakika natumia simu gani jf Raha sana
Kwa hiyo sina kazi ya kufanya nifuatilia unatumia simu gani
We mseng* S pen na SamsungDex tu hizi feature 2 zinatosha kumpiga K.O huyo pixel wako.

Pixel ni simu ya wanawake na vijana mabarobaro wanaozijaza simu zao miapp kama snapchat. Ila Samsung ni zaidi ya office



Naona wavuta bhangi ,kaulize simu za wadada ni zipi ...Mtoto wa kiume unababaika na pen, bado unapaka lipstick ..Kwanza hiyo ni ya zamani tangu enzi za HTC ,ulikuwa bado unakata mkaa poriniπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Whats the secret behind all those laughing emojis?
Na A series sio makapi. Unajua chochote kinachoitwa midrange na low end kwenye ulimwengu wa simu? Au na hivi ni vitu vigeni kwako
 
Whats the secret behind all those laughing emojis?
Na A series sio makapi. Unajua chochote kinachoitwa midrange na low end kwenye ulimwengu wa simu? Au na hivi ni vitu vigeni kwako
Unataka kubisha ,yale ni makapi ..Made for Africans vilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…