Kosa kubwa alilolifanya Hayati Magufuli ni kutokuelewa utofauti wa adui na mpinzani

Mtu anakwambia hata Hitler anasemwa ila hakwambii hata Mkapa au Mzee mwinyi nao wanasemwa.
 
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.

Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.

Adui -ni yule anayepambana kukuondoa usiwepo

Mpinzani-ni yule anayetazama weakness zako na kuzi-expose ili uzifanyie kazi.

Ukichanganya hizo falsafa utaumia Sana katika siasa.
Kwahiyo Wapinzani ndo wachunguzwe kwa ile hoja ya Luhaga Mpina?
 
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.

Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.

Adui -ni yule anayepambana kukuondoa usiwepo

Mpinzani-ni yule anayetazama weakness zako na kuzi-expose ili uzifanyie kazi.

Ukichanganya hizo falsafa utaumia Sana katika siasa.
Bado mko na marehemu tu, mhh
 
Bado mnateseka na marehemu?, hakika alikuwa mwamba haswaa!!!, endeleeni kuteseka na kivuli chake
 
Katika kipindi cha Magufuli, kosa kubwa walilofanya wapinzani ni kugeuka maadui binafsi wa mkuu wa nchi.
Alipenda kusifiwa kwa kudhani Yuko Sahihi kwa Kila jambo, kutokana na uelewa wake mdogo wa kisiasa, akadhani hata wapinzani wana jukumu la kumsifia. Akalazimisha uadui na watu waliokuwa sahihi kisheria. Matokeo yake akaanza kuweka siasa za mipaka kinyume na Sheria.
 
WAO ndiyo waliomchanganya hadi akafikia HATUA HIYO ya kushindwa kutofutisha KATI YA MPINZANI na adui. Still, NAYE PIA alikuwa hana moyo mpana sana wa kushughulika na mpinzani au adui YAKE.

Inshort alikuwa anapenda siasa, wakati siasa hazimpendi.
 
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.

Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.

Adui -ni yule anayepambana kukuondoa usiwepo

Mpinzani-ni yule anayetazama weakness zako na kuzi-expose ili uzifanyie kazi.

Ukichanganya hizo falsafa utaumia Sana katika siasa.
Jiwe wapinzani aliwachukulia kama waasi
 
Alipenda kusifiwa kwa kudhani Yuko Sahihi kwa Kila jambo, kutokana na uelewa wake mdogo wa kisiasa, akadhani hata wapinzani wana jukumu la kumsifia. Akalazimisha uadui na watu waliokuwa sahihi kisheria. Matokeo yake akaanza kuweka siasa za mipaka kinyume na Sheria.
Nakumbuka alisema mwenyewe kwamba akipendwa na kusifiwa na mkewe inatosha, kwani alipewa urais ili awatumikie Watanzania.

Magufuli hakupenda sifa za kijinga na unafiki.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
RlP Mawazo , Lwajembe,Watu kwenye viroba n.k
Chupuchupu Mh Lissu angesepa kabla take...

Kipara bila akili ni Sawa tako.
Napiga sana vita mikesha ya mbio za mwenge na vilabu vya pombe za kienyeji sababu huko ndiko kwenye mimba nyingj za utotoni na kunapatikana mimba za wima matokeo yake watoto wanao zaliwa wanajihisi wanaweza kumwambia neno lolote mtu!
 
Magufuli alikua rais bora ila angekua bora zaid kama angeyafanyia kazi yale yote aliyokua anakosolewa na wapinzani wake naona angeweza kuudhoofisha upinzani kwa urahisi sana!
 
Mungu saidia, tunahitaji mtu mwenye misuri zaidi ya JPM katika nchi yetu,

Uhuni tunaofanyiwa dhidi yetu walala hoi, Yatosha, wachache tu ndio waliojimilikisha utajiri wote wa nchi yetu na wajinga wachache kama mwandika uzi huu bado wapo upande wa majizi, siwalaumu ila wamefumbwa macho

Kwa kidogo walichonacho, wao wanaona wapo sawa hata nchi ikiwa na viongozi legelege na wanaoshirikiana na wezi ni sawa kwao

Uwafumbue macho Mungu waone utajiri wa nchi yao jinsi inavyotafunwa na majizi ya ccm na kuwakataa viongozi wenye nia ya kuifanya Tanzania iwe ya kila mtanzania
 
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.

Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.

Adui -ni yule anayepambana kukuondoa usiwepo

Mpinzani-ni yule anayetazama weakness zako na kuzi-expose ili uzifanyie kazi.

Ukichanganya hizo falsafa utaumia Sana katika siasa.
Sasa hapo umeandika nini. Mpinzani wa kisiasa mwenye kutumia hila mbaya kama uongo na kukutukana ni adui wa kisiasa.
 
Napiga sana vita mikesha ya mbio za mwenge na vilabu vya pombe za kienyeji sababu huko ndiko kwenye mimba nyingj za utotoni na kunapatikana mimba za wima matokeo yake watoto wanao zaliwa wanajihisi wanaweza kumwambia neno lolote mtu!
Kende wewe .... kipara bila akili ni Sawa tako
 
😂😂😂 hivihivi yaani hoja za Magufuli zitaendelea kujadiliwa hapa miongo mingi ijayo

Badala ya kujadili hoja unatoa matusi tu
Wewe fisi ....ipi Tutsi kama wakati najaribu kumelemisha huyu mpumbavu mwenzio
 
Back
Top Bottom