Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Nani asiyeua? Mbu anaua. Chakula kinaua. Viroboto wanaua. Bodaboda zinaua...the list goes on and onYeye alikuwa anajua kuua pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani asiyeua? Mbu anaua. Chakula kinaua. Viroboto wanaua. Bodaboda zinaua...the list goes on and onYeye alikuwa anajua kuua pekee
Hanithi huyo anatangaza matako anafikiri wengine tunatafuna!😂😂😂 hivihivi yaani hoja za Magufuli zitaendelea kujadiliwa hapa miongo mingi ijayo
Badala ya kujadili hoja unatoa matusi tu
Vipi unatoa nini tako!Kende wewe .... kipara bila akili ni Sawa tako
Uanzie wapi kuelemusha watu wewe mjinga?Wewe fisi ....ipi Tutsi kama wakati najaribu kumelemisha huyu mpumbavu mwenzio
Tako la kipara bila akili ni Sawa takoVipi unatoa nini tako!
Mjinga wewe crap tuu...by the way wewe ni imbecileUanzie wapi kuelemusha watu wewe mjinga?
Weka namba!Tako la kipara bila akili ni Sawa tako
Chukua kwa kichaa mwenzio Lucas Mwashambwa .... kipara bila akili ni Sawa takoWeka namba!
Kazi iliyokuleta hapa leo ni kushambulia watu kwa matusi?Mjinga wewe crap tuu...by the way wewe ni imbecile
Ok kulala mpaka asubuhi bei gani wakati mtu analichezea hilo tako lako!Chukua kwa kichaa mwenzio Lucas Mwashambwa .... kipara bila akili ni Sawa tako
Wewe nyau kipi cha mana naweza niambia mmKazi iliyokuleta hapa leo ni kushambulia watu kwa matusi?
Kuwa mstarabu dogo hunijui sikujui, ustake nihitaji kukujua, mwisho haitakuwa mwema
True walikua sometimes wanatumiwa na wapinzani wake wa CCMKuna mtu atakuja hapa kusema hawakuwa wapinzani bali vyeti feki, mafisadi, wakwepa kodi na wauza dawa za kulevya!
Ni kijishoga flan hicho kilianza kudandiwa na watoto wenziwe sasa hapa kinatafuta basha kinguvu kisikuumize kichwa mkuu yapo mambo mengi ya kufanya!Kazi iliyokuleta hapa leo ni kushambulia watu kwa matusi?
Kuwa mstarabu dogo hunijui sikujui, ustake nihitaji kukujua, mwisho hautakuwa mwema
Na lilimpotezea Muda mwingi sana.Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.
Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.
Adui -ni yule anayepambana kukuondoa usiwepo
Mpinzani-ni yule anayetazama weakness zako na kuzi-expose ili uzifanyie kazi.
Ukichanganya hizo falsafa utaumia Sana katika siasa.
I'd fek haikuhakikishii usalama mkuuWewe nyau kipi cha mana naweza niambia mm
Alijichanganya. ......Kwa katiba yetu ukiwa rais sio tu unakuwa mungu Mtu bali pia unakuwa mtumwa wa madaraka makubwa.WAO ndiyo waliomchanganya hadi akafikia HATUA HIYO ya kushindwa kutofutisha KATI YA MPINZANI na adui. Still, NAYE PIA alikuwa hana moyo mpana sana wa kushughulika na mpinzani au adui YAKE.
Sikio la kufa halisikii dawa!Haya wengi tuliyasema wakati akiwa hai, kwenye kilele cha urais wake. Tulimwambia aangalie sana, wapinzani wake kama kina Lissu, ni watu wanaompenda sana na wanaanika upungufu wake ili arekebishe. Tukamwambia maadui wake wakubwa wako CCM na wengi ni wale wanaomwimbia mapambio ya kumtukuza. Hakusikia sauti zetu.
Ulichokiona wewe siyo tulichokiona sie.Alichokuwa anasema sio alichokua anamaanisha, sisi tuliangalia matendo yake na sio maneno yake.