Kosa kubwa alilolifanya Hayati Magufuli ni kutokuelewa utofauti wa adui na mpinzani

Kosa kubwa alilolifanya Hayati Magufuli ni kutokuelewa utofauti wa adui na mpinzani

Mjinga wewe crap tuu...by the way wewe ni imbecile
Kazi iliyokuleta hapa leo ni kushambulia watu kwa matusi?

Kuwa mstarabu dogo hunijui sikujui, ustake nihitaji kukujua, mwisho hautakuwa mwema
 
Kazi iliyokuleta hapa leo ni kushambulia watu kwa matusi?

Kuwa mstarabu dogo hunijui sikujui, ustake nihitaji kukujua, mwisho hautakuwa mwema
Ni kijishoga flan hicho kilianza kudandiwa na watoto wenziwe sasa hapa kinatafuta basha kinguvu kisikuumize kichwa mkuu yapo mambo mengi ya kufanya!
 
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.

Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.

Adui -ni yule anayepambana kukuondoa usiwepo

Mpinzani-ni yule anayetazama weakness zako na kuzi-expose ili uzifanyie kazi.

Ukichanganya hizo falsafa utaumia Sana katika siasa.
Na lilimpotezea Muda mwingi sana.

Mwisho maaduni wakawa chamani mwake
 
WAO ndiyo waliomchanganya hadi akafikia HATUA HIYO ya kushindwa kutofutisha KATI YA MPINZANI na adui. Still, NAYE PIA alikuwa hana moyo mpana sana wa kushughulika na mpinzani au adui YAKE.
Alijichanganya. ......Kwa katiba yetu ukiwa rais sio tu unakuwa mungu Mtu bali pia unakuwa mtumwa wa madaraka makubwa.
 
Haya wengi tuliyasema wakati akiwa hai, kwenye kilele cha urais wake. Tulimwambia aangalie sana, wapinzani wake kama kina Lissu, ni watu wanaompenda sana na wanaanika upungufu wake ili arekebishe. Tukamwambia maadui wake wakubwa wako CCM na wengi ni wale wanaomwimbia mapambio ya kumtukuza. Hakusikia sauti zetu.
Sikio la kufa halisikii dawa!
 
Alichokuwa anasema sio alichokua anamaanisha, sisi tuliangalia matendo yake na sio maneno yake.
Ulichokiona wewe siyo tulichokiona sie.

Sie tulimwona matendo yake na maneno tukajua alimaanisha alichosema.
 
Back
Top Bottom