Kosa kubwa atakalolifanya Makonda ni kutolipiza kisasi

Alipe kisasi kwa cheo gani alichonacho?
Msemaji wa chama ni mtu mdogo sana kwenye chama.
Hata hivyo kwenye chama hicho ni yeye ndiye mwenye tuhuma nyingi kuliko hawo unaotaka awalipizie.
Ajaribu tuone vita ya Dunia
 
Makaonda au Bashite????tuanzie hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile nyumba aliyekuwa adadai kunyamganywa ilisharudi?
 
Kisasi ni kuongeza vilema.
 
Hasa Clouds Tv
 
Na risasi alizommiminia Lisu ni Haki atunguliwe na yeye. Asante kwa kukumbusha
 
Nilisoma kichwa cha habari nikahisi nimekosea kusoma nikarudia tena. Pepo tutaiona Kwa kudra zake Mungu
 
Wewe Paul nini nani? Au unamanisha Bashite?
 
Anaelewa tena anajua mengi kuliko unavyojua wewe. Kilichomsaidia na kitakachomsaidia ni kusimamia na kike anachoamini.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
H

Hiyo ni mojawapo ya kanuni za kwenye siasa... ukipata fursa ya kumtandika opponent wako unamtandika kisawa sawa asiweze amka tena. Kama vile Yanga FC ilivyo mtandika Simba FC 5G.
Na mzunguko wa pili asipojipanga tunaongeza zile mbili tulizokosa kwa uzembe zinakuwa saba. na yeye hapati hata moja. mmmke
 
Na mzunguko wa pili asipojipanga tunaongeza zile mbili tulizokosa kwa uzembe zinakuwa saba. na yeye hapati hata moja. mmmke
unasema 5G haijatosha, mbona hata China hawajafika 7G, una harakia nini?
 
Badili Paul weka Daudi Bashite ... By the way amlipizie kisasi nani na kwa nini? The other way could be true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…