PreGE2025 Kosa kubwa la CHADEMA: wanadhani bila wao hakuna upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
Mbona mnaiandama chadema au mmeona uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe tena? Gombeeni nyie tumechoka uchaguzi kuzalisha vilema na wajane wengi tunataka uchaguzi uwe huru kweli
 
Hawa viongozi wao wa sasa wanaona wao ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.
 
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
Wapinzani wengine wa Fisiemu ni nani?
Je ni vile vyama vinavyo shonewa suti kulipwa posho na kuandaliwa press conference ya kupinga Chadema.
Kapimwe utimamu wa akili.
Iqnoramus .
 
Si ishakufa na mmeshapata ushindi wa 100% mbona mnahangaika na mfu badala ya kuimba sifa kwa mama yetu aliyepita bila kupingwa? Tukutane lumumba leo kuna mandazi, vitumbua na azam juice kwa sherehe ya ushindi!
 
Hawa viongozi wao wa sasa wanaona who ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.

Kwani wewe ni yupi hapo?

1744224725751.png
 
Hawa viongozi wao wa sasa wanaona who ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.
Chama makini hakiwezi kuingia kwenye huu uchaguzi, labda kama Cha njaa, kuingia kwenye mazingira haya ya uchaguzi ni kuhalalisha uwasi nchini.
 
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
Chadema inawatesa wengi. Kwani huwezi kuishi maisha yako bila kuiwaza Chadema? Kama Chadema wamepoteza au hawashiriki uchaguzi basi pambana na Chauma au hao Ccm wako. Unasema mara hoo Chadema imekufa lakini kila siku uko bize na Chadema wakati kuna Act na vyama vingine 18. Huo ni ujinga, pambana na hali yako na mambo ya Chadema waachie wao
 
Back
Top Bottom