saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Umeandika ukweli, wamejidanganya eti wao ndio wapinzani wa kweli, wameshahau ht CUF ilishakuwa chama kikuu cha upinzani, mwaka huu baada ya uchaguzi tutakuwa na chama kingine kikuu cha upinzani hao wajinga watafutika ktk ramani ya siasa maana wanachama wenye ni ya kutumia haki yao ya kikatiba ya kugombea watakihamaMoja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,