PreGE2025 Kosa kubwa la CHADEMA: wanadhani bila wao hakuna upinzani

PreGE2025 Kosa kubwa la CHADEMA: wanadhani bila wao hakuna upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Haki ya mpiga kura lazima iheshimiwe, tunahitaji kuona kura ya mpiga kura inaheshiwa.
 
Chadema hawajawahi kuamini hivyo!
Chadema ni Chama cha Upinzani cha KWELI lakini siyo Chama peke yake cha Upinzani.
Isitoshe hivyo vyama vingine siyo vyama vya Upinzani bali ni vyama vya kukiunga mkono na kukisindikiza Chama tawala yaani ni Matawi ya Chama Tawala.
 
2025 wanatoka kapa kwa ujinga wao. Na 2030 watakutana na chama kingine cha upinzani chenye nguvu. Ilisinyaa NCCR na TLP sembuse hicho kikundi chenu
Malengo ya chadema sio kuwa chama kikuu cha upinzani.
Malengo ni chadema kuwa chama dola.

Kwahizi chaguzi feki zinazosimamiwa na watumishi wa mwenyekiti wa ccm haziwezi kufanya chadema kuwa chama dola ila tu zinaweza kufanya chadema kuwa chama kikuu cha upinzani.
 
Back
Top Bottom