imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Huyo aliyeng'ang'ania goti
Huyo aliyeng'ang'ania goti
Unamkumbuka JK leo?? Yule mliyekuwa mnamdhihaki kila leo!!Wapinzani wapi unaowaongelea wewe? CHADEMA wamekataa mauwaji, uchafuzi na hila za kitoto zinazotawala chaguzi zetu, Tangu enzi za kina Alphonce Mawazo etc.. Kauaneni na hao CCM B! JK aliondoka na Demokrasia nchi hii... at least enzi zake kulikua na aibu kidogo, CCM ya leo Hata kushindana hawawezi tena zaidi ya kutumia dola kuua na kukandamiza demokrasia.. RIHell Jiwe
kumbe hivi vyama viko kimaokoto zaidi e!Hawa viongozi wao wa sasa wanaona who ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.
Hakuna anayeandama chakandumuzMbona mnaiandama chadema au mmeona uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe tena? Gombeeni nyie tumechoka uchaguzi kuzalisha vilema na wajane wengi tunataka uchaguzi uwe huru kweli
Hatuna shida na mabadiliko, shida yetu ni namna ya kuleta mabadiliko. Lissu anataka kuleta kwa uasi!! Sisi tunataka kwa majasilianoHiyo ni tafsiri yako,kama hadi sasa hujaelewa mabadiliko wanayopigania Chadema yana maana gani kwa siasa za nchi yetu basi hata hiyo shule haijakukomboa au ni chuki tu kwa Chadema. Uchaguzi huru na wa haki na unaoaminika ni heshima hata kwa chama kitakachoshinda. Sasa tumewaachia uchaguzi muendeleze hadaa zenu tabu iko wapi? Vipi vyama vingine 18 kawaibieni hao kama wanacho cha kuibiwa.
Mamlaka zimeshatoa tamko kwamba CHADEMA hawana uhalali wa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu(bado sijajua kisheria ilo suala lipoje). Ni busara CCM na vyama vingine vyote vilivyosaini maadili ya uchaguzi wakajikita kwenye maandalizi ya kampeni. Kutumia nguvu kubwa kuhalalisha kinachofanyika katika mchakato wa uchaguzi mkuu inatengeneza taswira kwamba mnajihisi hatia mioyoni mwenu.Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Mioyo yao imebeba hisia za kujiona wana hatia na hawapo tayari kutubuMbona hili tukio la CHADEMA ''kufanya kosa'' la kujiondoa kwenye siasa za Tanzania linawauma sana CCM wakati wamekuwa wanajiapiza kuwa watafanya lolote ili CHADEMA ifutike?
Kama chama hakina nguvu mbona unateseka hivyo.Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Ccm wenyewe inaishi kwa kuiba kodi za wananchi na sichengine yote tunayajua.Nj
Njaa ipi unazungumzia, hilo li chama linaendeshwa kwa ruzuku kutoka serikalini, na mmeanzisha tone tone mkaishia kupata milioni 100 tu, hiyo ni hela ndogo sana. Chadema ina uwekezaji gani wa kujiendesha? Sasa subirini hiyo njaa itakayowapiga mtauana wenyewe huko ndani. Yule mnyaturu hana akili ht kdg.
Hivi kweli msimamizi wa uchaguzi anateuliwa na mgombea alaf tunaona ni sawa