Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 454
- 635
hiyo ni sawa maana falsafa hazifanani, ila wajitokeze wajiimarishe...Kosa au ndo ukweli?
Nchi hii kuna Wapinzani wa kweli tena wanaowatakia mema na mazuri Watanzania zaidi ya Chadema?
hiyo ni sawa maana falsafa hazifanani, ila wajitokeze wajiimarishe...Kosa au ndo ukweli?
Nchi hii kuna Wapinzani wa kweli tena wanaowatakia mema na mazuri Watanzania zaidi ya Chadema?
Mungu atujalie uzima, kuliko udalali Bora kife! hatutaki kudanganywa km watotoHawa viongozi wao wa sasa wanaona who ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.
Tuambie kuna wapinzani gani hapo. Maana wote wameshakubali kwamba samia ni raisi. Nasubiri povuMoja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Unazungumzia wagombea tu, huzungumzii wapiga kura waliochoka kura zao kuchezewa. Au unadhani vyama ni wagombea tu?Umeandika ukweli, wamejidanganya eti wao ndio wapinzani wa kweli, wameshahau ht CUF ilishakuwa chama kikuu cha upinzani, mwaka huu baada ya uchaguzi tutakuwa na chama kingine kikuu cha upinzani hao wajinga watafutika ktk ramani ya siasa maana wanachama wenye ni ya kutumia haki yao ya kikatiba ya kugombea watakihama
ili wawe wapinzani wa kweli huko Zanzibar lazima wapambane kuongoza serikali, siyo kupewa zawadi ya Umakamu wa kwanza wa Rais na mawaziri vivuli, hiyo ni aina nyingine yakulamba asali!Ni kweli usemayo, lakini cdm ndio chama cha upinzani wa kweli. Hivyo vingine ukiachia ACT huko Znz ni vya kujazia hesabu. Ukweli huu uwe unautaka ama huutaki uko hivyo hivyo.
Kosa kubwa sana la watu wajinga ni kujifanya wanajua kila kitu.Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Chama cha CUF kilikuwa na nguvu Zanzibar kuliko ambayo Chadema wanayo Bara. Jecha akafanya yake kwa uwazi kabisa. CUF wakasusia uchaguzi. CCM wakaweka mtu wao kama mpinzani na wakaendelea kutawala. CUF wakawa wamepata somo. CDM inaelekea bado. Somo ni kuwa CCM haijali inashindaje uchaguzi. Kutokuwepo CDM ni fursa kwa wengine hivyo Bunge lijalo litakuwa na wapinzani na maisha yataendelea. Kambi ya upinzani itaongozwa na ACT-WAZALENDO ambayo itakuwa na wabunge waliotoka CDM. CDM haitakufa bali itahitaji kufanya kazi ya ziada kubakia kuwa relevant.Hawa viongozi wao wa sasa wanaona who ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.
Wajitokeze kuhalalisha upumbavu?hiyo ni sawa maana falsafa hazifanani, ila wajitokeze wajiimarishe...
Wapinzani wapi unaowaongelea wewe? CHADEMA wamekataa mauwaji, uchafuzi na hila za kitoto zinazotawala chaguzi zetu, Tangu enzi za kina Alphonce Mawazo etc.. Kauaneni na hao CCM B! JK aliondoka na Demokrasia nchi hii... at least enzi zake kulikua na aibu kidogo, CCM ya leo Hata kushindana hawawezi tena zaidi ya kutumia dola kuua na kukandamiza demokrasia.. RIHell JiweMoja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Soma kwa makini, usiwe na haraka yakureplyWajitokeze kuhalalisha upumbavu?
Hakuna vyama ,vyama vipi ambavyo hata vikiitisha mikutano hata vivuli vyao vinakimbia.Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Mkuu umeongea kikubwa sana ,machawa yakirushiwa m3 wanaona wameupata ufalme wa mbingu chini ya ccmKosa kubwa ni sisi wanaccm kuamini chadema Haina umuhimu kwenye taifa hili!!kosa kubwa sana!!
Madhara ya chadema kutokua na wabunge bungeni ni makubwa know ndio maana Ngoro ngoro,bandari n.k vimeenda kirahisi sana Tena Kwa mserereko mkuu!!
Wewe CCM mambo ya Chadema yana kuhusu nini?Uchaguzi ndo huo hapo umeachiwa na vyama 18 shida Iko wapi wwe Malaya wa kisiasaMoja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Wewe ni Malaya wa kisiasa ,wewe ni CHAWA kubwa zaidi una ELIMU ni ndogo .Nj
Njaa ipi unazungumzia, hilo li chama linaendeshwa kwa ruzuku kutoka serikalini, na mmeanzisha tone tone mkaishia kupata milioni 100 tu, hiyo ni hela ndogo sana. Chadema ina uwekezaji gani wa kujiendesha? Sasa subirini hiyo njaa itakayowapiga mtauana wenyewe huko ndani. Yule mnyaturu hana akili ht kdg.
Ukiona hata wewe chadema inakufikirisha hadi unaianzishia uzi ujue inakuathiri kwa mawazo au matendo yaoMoja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
unachekesha kweli,udanganyifu hauna nafasi Tena,vyamo vyote ukiacha chadema ni vya CCMMoja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,