Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Moja ya kazi ya ujamaa ni kufanya watu kuwa waoga,na Nyerere kwa hilo alifanikiwa.
Tuliandaliwa kuto kuhoji, akini baadae aliligundua hilo akaja na wazo kwa vijana wawe waasi wa kupinga mifumo kandamizi, (ya CCM), Chukua CHako MapemaMoja ya kazi ya ujamaa ni kufanya watu kuwa waoga,na Nyerere kwa hilo alifanikiwa.
Una mihemko tumia common senseUlitaka ateuliwe na Lissu au Bishop Bagonza?
Hii ndo kosa la CHADEMA. Na hapa ndo mimi sikubaliani nao. Japo siwataki CCM, ila CDM hasa hii ya Tundu wanafeli hapo. Hawaishi democrasia kama wanavyoihubiri. Wanaona wao ndo wako sahihi tu. Hii sio sawaTuliani sasa mayowe mengi ya nini na mnaenda kushinda kwa kishindo.Chadema hawashiriki na kinakufa muda si mrefu.
Just a fair analysis of the situation
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Hv unaelewq nini chadema wanapigania?Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Ulitaka 2025 hii wafanyaje kabla hawajafika hiyo 2030Hawa viongozi wao wa sasa wanaona who ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.
Wewe ni hovyo sana!Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Hv ww ukifukuzwa kaz unaendq jifungia ndan ufe na njaa ?Hawa viongozi wao wa sasa wanaona who ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.
Ni kweli usemayo, lakini cdm ndio chama cha upinzani wa kweli. Hivyo vingine ukiachia ACT huko Znz ni vya kujazia hesabu. Ukweli huu uwe unautaka ama huutaki uko hivyo hivyo.Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,