PreGE2025 Kosa kubwa la CHADEMA: wanadhani bila wao hakuna upinzani

PreGE2025 Kosa kubwa la CHADEMA: wanadhani bila wao hakuna upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe ni Malaya wa kisiasa ,wewe ni CHAWA kubwa zaidi una ELIMU ni ndogo .
Nikusaidie hili Chadema hatushiriki uchaguzi na Chama ninaenda kufa.Na CCM itashinda Kwa kishindo Kwa asilimia 100.Shida yako ni ipi tena ?Una shida gani tena Chadema?
CCM hata ikiweka mawe lazima ishinde kwa asilimia 100%,chadema haina haja ya kushiriki uchaguzi wakat ccm imeshinda kabla ya uchaguxi,utachuguaje chadema wakati CCM imeshinda
 
ili wawe wapinzani wa kweli huko Zanzibar lazima wapambane kuongoza serikali, siyo kupewa zawadi ya Umakamu wa kwanza wa Rais na mawaziri vivuli, hiyo ni aina nyingine yakulamba asali!
Hawapewi kama hisani, bali ni takwa la katiba yao.
 
Hawajachoka kipindi cha Magufuli watachoka kwa SAMIA.
by the way CDM,wanawapigania nyie Watanzania matahira msiojielewa.
Hakuna mtu anampigania mtu mwingine hapa?? Naafu mimi taahira kuliko wewe msukule unayetegemea CHADEMA wakukomboe
 
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
Unateseka sana jifunguwe salama
 
Moja ya kazi ya ujamaa ni kufanya watu kuwa waoga,na Nyerere kwa hilo alifanikiwa.
Ujasiri wako ni kununua bando na kuja kuponda hoja JF. Mkiitwa muingie barabarani, mnategemea wenzenu tu!! Stupid
 
Hoja ya kipuuzi.

Ni lini waliyatamka hayo? Huelewi hata maana ya chama çha siasa.

Chama cha siasa ni lazima kiwe na itikadi, na pale ambapo chama kimoja kinaamini tofauti na chama kingine, ndiyo kinachohalalisha uwepo wa vyama vingi. Kama vyama vyote vikiamini sawasawa, kuna haja gani ya kuwa na vyama vingi?

Muwe mnatafakari kwa weledi kuliko kukurupuka na kuleta mada ambazo hazina mantiki.
Je itikadi ya CHADEMA ni ipi? Iweke hapa kama unaifahamu!! Mimi najua tu wanaropoka No Election No Reforms
 
Unavyozungumzia upinzani nchini hii ni CHADEMA, huwezi kuiona CCM inahangaika na Chauma, UDA na vyama vingine dhaifu kama hivyo, ukweli ni kuwa bila Chadema ni Bora nchi hii itangazwe kuwa ya chama kimoja
 
Ulitaka 2025 hii wafanyaje kabla hawajafika hiyo 2030
2025 wanatoka kapa kwa ujinga wao. Na 2030 watakutana na chama kingine cha upinzani chenye nguvu. Ilisinyaa NCCR na TLP sembuse hicho kikundi chenu
 
Huo ndio ukweli wenyewe.bila CHADEMA hakuna upinzani.mfano angalia tu bunge la Sasa ambalo hakina wapinzani limekosa mvuto kabisa Kila mbunge akisinama anatoa pongezi Kwa Samia na wakati huo taarifa ya mkaguzi na mdhibiti wa mahesabu imeonyesha awamu ya sita imefisadi Nchi kuliko kipindi chochote kilichowahi kutokea katika matukio ya ufisadi
 
Mbona mnaiandama chadema au mmeona uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe tena? Gombeeni nyie tumechoka uchaguzi kuzalisha vilema na wajane wengi tunataka uchaguzi uwe huru kweli
Mkuu kuna miradi ya watu itakwama kwasababu pesa za kushughulikia CHADEMA zitakata sasa kwanini watu wasiwe mbogo, ulaji wao inakufa.
 
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
Hiyo ni tafsiri yako,kama hadi sasa hujaelewa mabadiliko wanayopigania Chadema yana maana gani kwa siasa za nchi yetu basi hata hiyo shule haijakukomboa au ni chuki tu kwa Chadema. Uchaguzi huru na wa haki na unaoaminika ni heshima hata kwa chama kitakachoshinda. Sasa tumewaachia uchaguzi muendeleze hadaa zenu tabu iko wapi? Vipi vyama vingine 18 kawaibieni hao kama wanacho cha kuibiwa.
 
ili wawe wapinzani wa kweli huko Zanzibar lazima wapambane kuongoza serikali, siyo kupewa zawadi ya Umakamu wa kwanza wa Rais na mawaziri vivuli, hiyo ni aina nyingine yakulamba asali!
If you can't fight them, join them!!
 
Back
Top Bottom