Kosa kubwa la kiufundi alilofanya Paul Makonda leo

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kitendo cha Makonda kutoa hotuba yeye vitisho dhidi ya mawaziri maRC, maDC na maDED leo hii ktk mapokezi yake ni sawa na kuifunga milago ya ufanisi ktk kazi ya uenezi.

Vitisho hivi vimetafsiriwa na wengi kana kwamba Makonda bado anasumbulowa na kiburi yes ueuri na ulevi wa madraka.

Ukimsikiliza kwa makini ktk moja ya matamshi yake pia amemuagiza mpk mhe rais (bosi wake) ampatie mafuta ya chopa kamanda Mbowe. Hiki ni kiburi.

Na zaidi ya yote yeye anadhani ukaribu uenezi wa ccm¹ ni kuwashambulia Mbowe na Lisu.

Kauli hii ya kifehuli itazuia ushirikiano toka kwa viongozi hawa kwenda kwa Makonda.
 
Kwani unataka hao Intarahamwe wawe kitu kimoja?

Mbona mini ninamshukuru Samia kumteua Makonda?
ikiwezekana na Musiba awe katibu mkuu hii itakuwa nzuri sana
Kitendo cha Makomda kutoa hotuba yeye vitisho dhidi ya mawaziri maRC, maDC na maDED leo hii ktk mapokezi yake ni sawa na kuifunga milago ya ufanisi ktk kazi ya uenezi.

Vitisho hivi vimetafsiriwa na wengi kana kwamba Makonda bado anasumbulowa na kiburi yes ueuri na ulevi wa madraka.

Ukimsikiliza kwa makini ktk moja ya matamshi yake pia amemuagiza mpk mhe rais (bosi wake) ampatie mafuta ya chopa kamanda Mbowe. Hiki ni kiburi.

Kauli hii ya kifehuli itazuia ushirikiano toka kwa viongozi hawa kwenda kwa Makonda.
 
Kitendo cha Makomda kutoa hotuba yeye vitisho dhidi ya mawaziri maRC, maDC na maDED leo hii ktk mapokezi yake ni sawa na kuifunga milago ya ufanisi ktk kazi ya uenezi.

Vitisho hivi vimetafsiriwa na wengi kana kwamba Makonda bado anasumbulowa na kiburi yes ueuri na ulevi wa madraka.

Ukimsikiliza kwa makini ktk moja ya matamshi yake pia amemuagiza mpk mhe rais (bosi wake) ampatie mafuta ya chopa kamanda Mbowe. Hiki ni kiburi.

Kauli hii ya kifehuli itazuia ushirikiano toka kwa viongozi hawa kwenda kwa Makonda.
Waliomteua wanataka afanye hiko alichofanya sabab wao wana jicho la aibu kwa mawazir na wakuuwa mikoa mdomana wameona wampe huo mzigo wa msukuma aende nao wao wakae pembeni.. na usikute aliambiwa alisisitize hilo kwa mawaziri...
 
Ccm wameonyesha kuwa hawana uwezo kabisa wa ushawishi, hivyo wanategemea zaidi watu wenye siasa za kiburi. Nimeshangaa sana kusikia eti anawaagiza mamlaka za anga zimpe Mbowe kibali, yeye ana madaraka gani ya kuagiza mamlaka zifanye jambo fulani? Naona Bado anajiweka kwenye nafasi aliyokuwa nayo kipindi Cha Magufuli, wakati ule ilikuwa wao wako juu ya Sheria, naona bado Yuko kwenye ile hangover ya kiburi Cha madaraka.
 
Waliomteua wanataka afanye hiko alichofanya sabab wao wana jicho la aibu kwa mawazir na wakuuwa mikoa mdomana wameona wampe huo mzigo wa msukuma aende nao wao wakae pembeni.. na usikute aliambiwa alisisitize hilo kwa mawaziri...
Sahihi kabisa
 
Hotuba ya Makonda imenyooka, hongera sanaa. Makonda yupo hapo kimkakati kuwanyoosha Mbowe. Lissu na Lema wanaojifanya wao ndiyo wajuaji wa kila jambo la nchi hii. Makonda gear uliyoingia nayo leo mpaka 2025 tuone ka ma Chadomo mtafurukuta
 
Kwani chadema bado ipo? Si mlisema ilishajifia
 
Hotuba ya Makonda imenyooka, hongera sanaa. Makonda yupo hapo kimkakati kuwanyoosha Mbowe. Lissu na Lema wanaojifanya wao ndiyo wajuaji wa kila jambo la nchi hii. Makonda gear uliyoingia nayo leo mpaka 2025 tuone ka ma Chadomo mtafurukuta
Kama alishindwa kuwanyoosha kipindi cha mkono wa chuma ndio ataweza wakati huu?
 
Back
Top Bottom