Nadhani kateuliwa na mtu mmoja tu, wengine wakawa hawana namna, ni kukubaliana tu na uteuzi huo!Waliomteua ndiyo wana matatizo haswa kuliko hata yeye
Kitendo cha Makomda kutoa hotuba yeye vitisho dhidi ya mawaziri maRC, maDC na maDED leo hii ktk mapokezi yake ni sawa na kuifunga milago ya ufanisi ktk kazi ya uenezi.
Vitisho hivi vimetafsiriwa na wengi kana kwamba Makonda bado anasumbulowa na kiburi yes ueuri na ulevi wa madraka.
Ukimsikiliza kwa makini ktk moja ya matamshi yake pia amemuagiza mpk mhe rais (bosi wake) ampatie mafuta ya chopa kamanda Mbowe. Hiki ni kiburi.
Kauli hii ya kifehuli itazuia ushirikiano toka kwa viongozi hawa kwenda kwa Makonda.
Waliomteua wanataka afanye hiko alichofanya sabab wao wana jicho la aibu kwa mawazir na wakuuwa mikoa mdomana wameona wampe huo mzigo wa msukuma aende nao wao wakae pembeni.. na usikute aliambiwa alisisitize hilo kwa mawaziri...Kitendo cha Makomda kutoa hotuba yeye vitisho dhidi ya mawaziri maRC, maDC na maDED leo hii ktk mapokezi yake ni sawa na kuifunga milago ya ufanisi ktk kazi ya uenezi.
Vitisho hivi vimetafsiriwa na wengi kana kwamba Makonda bado anasumbulowa na kiburi yes ueuri na ulevi wa madraka.
Ukimsikiliza kwa makini ktk moja ya matamshi yake pia amemuagiza mpk mhe rais (bosi wake) ampatie mafuta ya chopa kamanda Mbowe. Hiki ni kiburi.
Kauli hii ya kifehuli itazuia ushirikiano toka kwa viongozi hawa kwenda kwa Makonda.
Unaweza kuwa sawaNadhani kateuliwa na mtu mmoja tu, wengine wakawa hawana namna, ni kukubaliana tu na uteuzi huo!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ccm wameonyesha kuwa hawana uwezo kabisa wa ushawishi, hivyo wanategemea zaidi watu wenye siasa za kiburi. Nimeshangaa sana kusikia eti anawaagiza mamlaka za anga zimpe Mbowe kibali, yeye ana madaraka gani ya kuagiza mamlaka zifanye jambo fulani? Naona Bado anajiweka kwenye nafasi aliyokuwa nayo kipindi Cha Magufuli, wakati ule ilikuwa wao wako juu ya Sheria, naona bado Yuko kwenye ile hangover ya kiburi Cha madaraka.Kitendo cha Makomda kutoa hotuba yeye vitisho dhidi ya mawaziri maRC, maDC na maDED leo hii ktk mapokezi yake ni sawa na kuifunga milago ya ufanisi ktk kazi ya uenezi.
Vitisho hivi vimetafsiriwa na wengi kana kwamba Makonda bado anasumbulowa na kiburi yes ueuri na ulevi wa madraka.
Ukimsikiliza kwa makini ktk moja ya matamshi yake pia amemuagiza mpk mhe rais (bosi wake) ampatie mafuta ya chopa kamanda Mbowe. Hiki ni kiburi.
Kauli hii ya kifehuli itazuia ushirikiano toka kwa viongozi hawa kwenda kwa Makonda.
Sahihi kabisaWaliomteua wanataka afanye hiko alichofanya sabab wao wana jicho la aibu kwa mawazir na wakuuwa mikoa mdomana wameona wampe huo mzigo wa msukuma aende nao wao wakae pembeni.. na usikute aliambiwa alisisitize hilo kwa mawaziri...
Hakuna vettingUteuzi huu ni uthibitisho wa ubovu wa serikali hii.
Anapiga jaramba usiwe na shakaNashauri Sabaya apewe uteuzi tujue moja.
Kama una ushahidi nenda mahakani,acheni uzushiRIP Ben Saanane
Kwani chadema bado ipo? Si mlisema ilishajifiaHotuba ya Makonda imenyooka, hongera sanaa. Makonda yupo hapo kimkakati kuwanyoosha Mbowe. Lissu na Lema wanaojifanya wao ndiyo wajuaji wa kila jambo la nchi hii. Makonda gear uliyoingia nayo leo mpaka 2025 tuone ka ma Chadomo mtafurukuta
Kama alishindwa kuwanyoosha kipindi cha mkono wa chuma ndio ataweza wakati huu?Hotuba ya Makonda imenyooka, hongera sanaa. Makonda yupo hapo kimkakati kuwanyoosha Mbowe. Lissu na Lema wanaojifanya wao ndiyo wajuaji wa kila jambo la nchi hii. Makonda gear uliyoingia nayo leo mpaka 2025 tuone ka ma Chadomo mtafurukuta