Kosa kubwa la Mzee Mbowe ni CHADEMA kutegemea Jina la Mtu badala ya Taasisi

Kosa kubwa la Mzee Mbowe ni CHADEMA kutegemea Jina la Mtu badala ya Taasisi

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Moja ya kosa kubwa ambalo wafuasi wa CDM watakuja kujutia ni kuruhusu chama chao kujengwa kwa kutugemea majina ya watu badala ya kujenga Taasisi .
Leo hii ,Menyekiti kaguswa kidogo tu ,mayowe kila mahali,ukienda kanda ya kasakazini takribani miaka ishirini kuna jina moja tu la Lema.
Majina yanapokuwa yanabeba chama badala ya chama kubeba majina ni lazima hii taasisi husika ife.
 
Back
Top Bottom