Nashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei hovyo, tukianza na swala la nauli, nauli baadhi ya sehemu zimepanda 100% wakati mafuta yamepanda kwa asilimia ndogo sana, mafuta kwetu huku yamepanda kwa shilingi 325 lakini nauli tumeongezewa mara mbili ya tuliyokua tunalipa hii sio haki,
chakushangaza hadi miogo tu inayovunwa shambani na kuletwa ndani ya wilaya hyo hyo sokoni nayo imepanda bei,
wali wa 1500 sijashiba
chakushangaza hadi miogo tu inayovunwa shambani na kuletwa ndani ya wilaya hyo hyo sokoni nayo imepanda bei,
wali wa 1500 sijashiba