Usiwasingizie Mawaziri kwa sababu ya ukilaza wa Rais, tumepata Rais ambaye ni mweupe kichwani, hajui hata A B C za uchumi.mama hana kosa ila hao mawaziri wake ndiyo shida wameshindwa kuongea hayo mambo mpaka mama amejikuta ameropoka,ukweli mawaziri wanamuangusha mama ndio maana kila jambo lawama anapewa mama kumbe kuna watu wamekaa tu bila kusema kuna moja mbili tatu na tutasolve kwa namna hii
Hapa Tanzania Rais huwa hakosei.mama hana kosa ila hao mawaziri wake ndiyo shida wameshindwa kuongea hayo mambo mpaka mama amejikuta ameropoka,ukweli mawaziri wanamuangusha mama ndio maana kila jambo lawama anapewa mama kumbe kuna watu wamekaa tu bila kusema kuna moja mbili tatu na tutasolve kwa namna hii
Na ndio wanasema Rais akishasema kinachofuata ni utekelezaji. Hiki ni kipindi cha mavuno kwa wafanyabiashara.Nashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei hovyo, tukianza na swala la nauli, nauli baadhi ya sehemu zimepanda 100% wakati mafuta yamepanda kwa asilimia ndogo sana, mafuta kwetu huku yamepanda kwa shilingi 325 lakini nauli tumeongezewa mara mbili ya tuliyokua tunalipa hii sio haki,
chakushangaza hadi miogo tu inayovunwa shambani na kuletwa ndani ya wilaya hyo hyo sokoni nayo imepanda bei,
wali wa 1500 sijashiba
UPO SAHIHI MKUU KILA MUUZAJI KAAMUA KUPANDISHA BEI KWA KUWA MAMA KASEMANashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei hovyo, tukianza na swala la nauli, nauli baadhi ya sehemu zimepanda 100% wakati mafuta yamepanda kwa asilimia ndogo sana, mafuta kwetu huku yamepanda kwa shilingi 325 lakini nauli tumeongezewa mara mbili ya tuliyokua tunalipa hii sio haki,
chakushangaza hadi miogo tu inayovunwa shambani na kuletwa ndani ya wilaya hyo hyo sokoni nayo imepanda bei,
wali wa 1500 sijashiba