Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
CHADEMA chama kikuu cha upinzani kimefail kujua dhamira kuu ya watu waliomweka Lissu ndani.
Lengo si kumnyonga kama ilivyo ada hukumu ya uhaini nchini.
Lengo ni kumpunguza speed huku mhasimu wake akipewa point 2 kipindi hichi cha mshikemshike na miezi 2 ya mwisho kabla ya uchaguzi apewe point 1 jumla point 3 safi.
CHADEMA ilipaswa kususia hii kesi tangu siku ya kwanza. Huku nguvu zote zingepelekwa kwenye mambo ya kujenga chama na kutafuta point 3 muhimu.
Lissu angekuwa anatembelewa gerezani tu kwa wiki mara moja na kuhusu kesi wangeachiwa kama ilivyo.
Automatically jamaa wameshapata point 2 mpaka sasa CHADEMA ijipange kwa 2030 tu.