Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Unadhani Chadema wote hawana akili kiasi hicho?CHADEMA chama kikuu cha upinzani kimefail kujua dhamira kuu ya watu waliomweka Lissu ndani.
Lengo si kumnyonga kama ilivyo ada hukumu ya uhaini nchini.
Lengo ni kumpunguza speed huku mhasimu wake akipewa point 2 kipindi hichi cha mshikemshike na miezi 2 ya mwisho kabla ya uchaguzi awe point 1 jumla point 3 safi.
CHADEMA ilipaswa kususia hii kesi tangu siku ya kwanza. Huku nguvu zote zingepelekwa kwenye mambo ya kujenga chama na kutafuta point 3 muhimu.
Lissu angekuwa anatembelewa gerezani tu kwa wiki mara moja na kuhusu kesi wangeachiwa kama ilivyo.
Automatically jamaa wameshapata point 2 mpaka sasa CHADEMA ijipange kwa 2030 tu.
Sawa Hata hivyo walishasema hawaendi kwenye uchaguziCHADEMA chama kikuu cha upinzani kimefail kujua dhamira kuu ya watu waliomweka Lissu ndani.
Lengo si kumnyonga kama ilivyo ada hukumu ya uhaini nchini.
Lengo ni kumpunguza speed huku mhasimu wake akipewa point 2 kipindi hichi cha mshikemshike na miezi 2 ya mwisho kabla ya uchaguzi apewe point 1 jumla point 3 safi.
CHADEMA ilipaswa kususia hii kesi tangu siku ya kwanza. Huku nguvu zote zingepelekwa kwenye mambo ya kujenga chama na kutafuta point 3 muhimu.
Lissu angekuwa anatembelewa gerezani tu kwa wiki mara moja na kuhusu kesi wangeachiwa kama ilivyo.
Automatically jamaa wameshapata point 2 mpaka sasa CHADEMA ijipange kwa 2030 tu.
Kutwa mara tatuUkiwahi kunywa dawa unapona kabisa trust me
CHADEMA chama kikuu cha upinzani kimefail kujua dhamira kuu ya watu waliomweka Lissu ndani.
Lengo si kumnyonga kama ilivyo ada hukumu ya uhaini nchini.
Lengo ni kumpunguza speed huku mhasimu wake akipewa point 2 kipindi hichi cha mshikemshike na miezi 2 ya mwisho kabla ya uchaguzi apewe point 1 jumla point 3 safi.
CHADEMA ilipaswa kususia hii kesi tangu siku ya kwanza. Huku nguvu zote zingepelekwa kwenye mambo ya kujenga chama na kutafuta point 3 muhimu.
Lissu angekuwa anatembelewa gerezani tu kwa wiki mara moja na kuhusu kesi wangeachiwa kama ilivyo.
Automatically jamaa wameshapata point 2 mpaka sasa CHADEMA ijipange kwa 2030 tu.chademlll
Sio sawa hata hivyoHakuna cha pointi wala nini, CCM wanahaha kwa sasa hata mwenyekiti wao anajua amepuyanga.
Suala la yeye kuanza kusema kuwa mikopo ina masharti magumu ni ishara kuwa anajua kinachofuata ni vikwazo.
Ngoja tuome maana huko Waarabu kuna waka moto.CHADEMA chama kikuu cha upinzani kimefail kujua dhamira kuu ya watu waliomweka Lissu ndani.
Lengo si kumnyonga kama ilivyo ada hukumu ya uhaini nchini.
Lengo ni kumpunguza speed huku mhasimu wake akipewa point 2 kipindi hichi cha mshikemshike na miezi 2 ya mwisho kabla ya uchaguzi apewe point 1 jumla point 3 safi.
CHADEMA ilipaswa kususia hii kesi tangu siku ya kwanza. Huku nguvu zote zingepelekwa kwenye mambo ya kujenga chama na kutafuta point 3 muhimu.
Lissu angekuwa anatembelewa gerezani tu kwa wiki mara moja na kuhusu kesi wangeachiwa kama ilivyo.
Automatically jamaa wameshapata point 2 mpaka sasa CHADEMA ijipange kwa 2030 tu.
Hahaha.....ila kweliHii nchi kila kitu kimevurugika, hadi hali ya hewa tu imevurugika.....sijawahi kuona kipupwe na mvua vikiwa pamoja
Umeandika utumbo wa kuku😏CHADEMA chama kikuu cha upinzani kimefail kujua dhamira kuu ya watu waliomweka Lissu ndani.