kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa atakuwa Ramadhani Kayoko au Hersi Saidi.....
kifupi Mpanzu hakupaswa kucheza kwenye hii ligi dhaifu ya bongo...maana anakupa maudambwi udambwi kiukweli jana tumeshuhudia ball la viwango ukiondoa kosa la Chasambi mechi ile sio ya bahasha wala mipango!