Kosa la chasambi tumeliona game nzuri tumeshuhudia ila Mpanzu ni habari nyingine

Mpanzu ni habari ingine mbumbumbu fc ikicheza na underdog ngoja uone derby akiwekwa kwenye mfuko wa shati na koplo baka, wewe mwenyewe utamfurusha kurudi Goma kwa m23!
Mbeleko fc hamna kitu mark my words!
Wampe ugeni rasmi kabisa
 
Wewe umeanza kufuatilia mpira lini, bado una safari ndefu kama unadhani winga anasifiwa kwa magoli pekee, au unadhani mastraika huwa wanaokotewa tu mipira kisha wanapewa wafunge wanavotaka
Swali zuri sana!
 
Mpanzu ni aina ya mchezaji anayeweza kufanya kila anachotaka uwanjani. Jana pamoja na mimi kuangalia kipindi cha pili pekee ila nadhani alikuwa na game bora sana na alistahili "man of the match". Hivi alipewa nani?

Kilichonifurahisha jana ni sasa hivi hata mashuti makali anapiga, mwanzo nilihisi hana uwezo wa kupiga mashuti makali.
 
Wewe ulifuatilia game kwa utulivu!
 
Back
Top Bottom