kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ilipangwa itokee ili uandike!Game imeisha 1-1, lakini kuna mwamba katoa assist na kashinda vilevile
🤣🤣Ilipangwa itokee ili uandike!
Hauwezi kucheza Ligi unamuwaza Yanga Tu ,kuna vizingiti vingine hujavukaHiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa atakuwa Ramadhani Kayoko au Hersi Saidi.....
kifupi Mpanzu hakupaswa kucheza kwenye hii ligi dhaifu ya bongo...maana anakupa maudambwi dambwi kiukweli jana tumeshuhudia ball la viwango ukiondoa kosa la Chasambi mechi ile sio ya bahasha wala mipango!
Yupo robo ndio kizingiti!Hauwezi kucheza Ligi unamuwaza Yanga Tu ,kuna vizingiti vingine hujavuka
Huwa wanamdharau kibu, but honest kwa sasa ana offer something different kule mbele, ana fanya mabeki wa timu pinzani wawe busySema pengo la kibu nalo limeonekana aise, mawinga pekee wanaofaa kuanza first eleven ni mpanzu na kibu, chasambi anatakiwa aendelee kutokea bench kwanza
Ni kweli kabisa mpanzu anaonekana anapenda na anauweza mpira wa pasi za haraka kukimbia weka kwenye njia,sasa shida wachezaji wengine badala ya kumrudishia pasi anazotoa wao wanapooza na kurudisha nyuma,Mpanzu na Kibu ni wazuri sana timu ikiwa inacheza mpira wa kasi na kushambulia mda wote..Lakini kwa mpira wanaocheza sasa simba wa back pass nyingi wanaonekana hawana maajabu yoyote vingenevyo simba iachane na mpira wa back pass hawaonekani kabisa wakitafuta ushindi wa magoli mengi..siku simba wakianza kucheza mpira wa kasi na kushambulia hao kibu,mpanzu na kapombe watatisha sana ila ndio hivyo timu sikio la kufa kwa mi back pass
Amefunga goli ngapi uyo mpanzu wako unayemsifia,,kashindwa kufunga kwenye mechi nyepesi anaruka ruka kama bisi ndio aifungue yanga ambayo aitompa hata nafasi ya kukaa na Mpira dk 1?Hiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa atakuwa Ramadhani Kayoko au Hersi Saidi.....
kifupi Mpanzu hakupaswa kucheza kwenye hii ligi dhaifu ya bongo...maana anakupa maudambwi dambwi kiukweli jana tumeshuhudia ball la viwango ukiondoa kosa la Chasambi mechi ile sio ya bahasha wala mipango!
Mipila Alikuwa Anakaa Nayo Kibu Itakuwa MpanzU? Bila Man Of The Match Kayoko Habari Ingekuwa Nyingine.Amefunga goli ngapi uyo mpanzu wako unayemsifia,,kashindwa kufunga kwenye mechi nyepesi anaruka ruka kama bisi ndio aifungue yanga !ambayo aitompa hata nafasi ya kukaa na Mpira dk 1?
Mpanzu takatak tu yule!hamna mchezaji pale dada angu kipara kipyaHiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa atakuwa Ramadhani Kayoko au Hersi Saidi.....
kifupi Mpanzu hakupaswa kucheza kwenye hii ligi dhaifu ya bongo...maana anakupa maudambwi dambwi kiukweli jana tumeshuhudia ball la viwango ukiondoa kosa la Chasambi mechi ile sio ya bahasha wala mipango!
Tuombe uzima kwa mwenyezi Mungu!Amefunga goli ngapi uyo mpanzu wako unayemsifia,,kashindwa kufunga kwenye mechi nyepesi anaruka ruka kama bisi ndio aifungue yanga ambayo aitompa hata nafasi ya kukaa na Mpira dk 1?