Wampe ugeni rasmi kabisaMpanzu ni habari ingine mbumbumbu fc ikicheza na underdog ngoja uone derby akiwekwa kwenye mfuko wa shati na koplo baka, wewe mwenyewe utamfurusha kurudi Goma kwa m23!
Mbeleko fc hamna kitu mark my words!
Kibu ana goli ngapiSema pengo la kibu nalo limeonekana aise, mawinga pekee wanaofaa kuanza first eleven ni mpanzu na kibu, chasambi anatakiwa aendelee kutokea bench kwanza
Sawa ma mdogo wa dsm!Mpanzu takatak tu yule!hamna mchezaji pale dada angu kipara kipya
Wewe umeanza kufuatilia mpira lini, bado una safari ndefu kama unadhani winga anasifiwa kwa magoli pekee, au unadhani mastraika huwa wanaokotewa tu mipira kisha wanapewa wafunge wanavotakaKibu ana goli ngapi
Swali zuri sana!Wewe umeanza kufuatilia mpira lini, bado una safari ndefu kama unadhani winga anasifiwa kwa magoli pekee, au unadhani mastraika huwa wanaokotewa tu mipira kisha wanapewa wafunge wanavotaka
Wewe ulifuatilia game kwa utulivu!Mpanzu ni aina ya mchezaji anayeweza kufanya kila anachotaka uwanjani. Jana pamoja na mimi kuangalia kipindi cha pili pekee ila nadhani alikuwa na game bora sana na alistahili "man of the match". Hivi alipewa nani?
Kilichonifurahisha jana ni sasa hivi hata mashuti makali anapiga, mwanzo nilihisi hana uwezo wa kupiga mashuti makali.