Nyunyu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2009
- 4,354
- 1,010
Kukusanya maoni ya wananchi kunahitaji miaka mingapi? Siku hizi dunia ni ndogo. CDM wamezunguka sehemu kubwa ya Tanzania kwa machopa, kwa kipindi kifupi.
Naamini mleta mada ana nia nzuri, lakini hajatoa sababu ya kuridhisha ya kuonyesha kwamba katiba mpya haiwezi kupatikana kabla ya 2015. Kuwa na deadline kwenye project yoyote ni muhimu.
Kenya wamepata katiba mpya kwa mchakato wa kipindi kifupi kama sisi, na tunadhani wamepata katiba nzuri. Kwa nini kwetu isiwezekane?
Kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwingine bila kuwa na katiba yenye chombo huru cha kusimamia huo uchaguzi haikubaliki. CCM ni wezi wa kura, lazima kuwe na vyombo huru (ikiwa ni pamoja na Polisi huru na Usalama wa Taifa huru) kwanza.
The bottom line is: Lazima ipatikane katiba mpya kabla ya 2015, na uchaguzi mkuu ufanyike 2015. Hakuna kuchelewesha katiba au kumpa JK muda zaidi.
Mkuu,
YN amemaanisha, watanzania kwa umjumla wetu bado tunahitaji elimu pana sana kuielewa katiba na maana yake. Hakika bado tuko nyuma sana kwenye hili! Kuna watu wa aina mbali mbali nimekuwa nawauliza maswali kuhusiana na mtafaruku wa juzi bungeni; you will be supprised na majibu ya waTZ hawa!!
-wapo wasemao, katiba ilikuwa inagombaniwa kupitishwa.
-wapo wasemao wapinzani hawajui wananchosema, wanagombani madaraka tu kwa kuhitaji serikali taili wapate nafasi ya uongozi angalau serikali ya Tanganyika
-wapo wanaosema mbowe alikuwa nang'ang'ania hadhi ya uwaziri mkuu
-na mengineyo mengi...
Hakika kati ya wote walikuwapo wazee wastaafu, wanafunzi wa high school, waajiriwa tena graduates na watu wakawaida. Hakuna hata aliyeongelmuswaada wa mabadiliko ya sheria ya mabadiliko ya katiba!!!
Naungana na YN kuwa tunahitaji muda na committiment toka serikalini ya kuhamasisha na kuelimisha wananchi wajue ni nini tunakitafuta...