Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

Kukusanya maoni ya wananchi kunahitaji miaka mingapi? Siku hizi dunia ni ndogo. CDM wamezunguka sehemu kubwa ya Tanzania kwa machopa, kwa kipindi kifupi.

Naamini mleta mada ana nia nzuri, lakini hajatoa sababu ya kuridhisha ya kuonyesha kwamba katiba mpya haiwezi kupatikana kabla ya 2015. Kuwa na deadline kwenye project yoyote ni muhimu.

Kenya wamepata katiba mpya kwa mchakato wa kipindi kifupi kama sisi, na tunadhani wamepata katiba nzuri. Kwa nini kwetu isiwezekane?

Kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwingine bila kuwa na katiba yenye chombo huru cha kusimamia huo uchaguzi haikubaliki. CCM ni wezi wa kura, lazima kuwe na vyombo huru (ikiwa ni pamoja na Polisi huru na Usalama wa Taifa huru) kwanza.

The bottom line is: Lazima ipatikane katiba mpya kabla ya 2015, na uchaguzi mkuu ufanyike 2015. Hakuna kuchelewesha katiba au kumpa JK muda zaidi.

Mkuu,

YN amemaanisha, watanzania kwa umjumla wetu bado tunahitaji elimu pana sana kuielewa katiba na maana yake. Hakika bado tuko nyuma sana kwenye hili! Kuna watu wa aina mbali mbali nimekuwa nawauliza maswali kuhusiana na mtafaruku wa juzi bungeni; you will be supprised na majibu ya waTZ hawa!!
-wapo wasemao, katiba ilikuwa inagombaniwa kupitishwa.
-wapo wasemao wapinzani hawajui wananchosema, wanagombani madaraka tu kwa kuhitaji serikali taili wapate nafasi ya uongozi angalau serikali ya Tanganyika
-wapo wanaosema mbowe alikuwa nang'ang'ania hadhi ya uwaziri mkuu
-na mengineyo mengi...

Hakika kati ya wote walikuwapo wazee wastaafu, wanafunzi wa high school, waajiriwa tena graduates na watu wakawaida. Hakuna hata aliyeongelmuswaada wa mabadiliko ya sheria ya mabadiliko ya katiba!!!

Naungana na YN kuwa tunahitaji muda na committiment toka serikalini ya kuhamasisha na kuelimisha wananchi wajue ni nini tunakitafuta...
 
Wewe kweli kobe, umeelewa nini? Kweli unaamini wakati tunapata uhuru wasomi walikuwa wawili tu?

Nimeamini kuwa kweli hukuelewa na unataka kupindisha maana ya nilichosema,

Soma vizuri hiki nilichosema,

Tanganyika ilipata Uhuru ikiwa na wasomi wachache wenye ngazi ya Stashahada (Masters) ambae ni Julius Nyerere, na Shahada ya Uzamifu (PHd) ni mmoja tu ambaye ni Dr Vedasto Kyaruzi,

Na hata wale waasisi waliokuwemo kwenye harakati za kupigania Uhuru ndani ya TANU hawakuwa wasomi wa ngazi za juu zaidi ya Julius Nyerere,

Wazee hawa ni Julius Kambarage Nyerere, Ali Sykes, Lameck Makaranga, Gosbert Milinga, Gelmandus Pacha, Joseph Kimalando, Japhet Kirilo, Abubakar Ilanga, Saadan Kandoro, Suleiman Kitwara, Kisunguta Kabara, Tewa Said Tewa, Dosa Aziz, Patrick Kunambi, Joseph Kasela-Bantu, John Rupia, Abdul Wahid Sykes

Kisha nakuuliza tena,

Ninani kati ya hao niliowataja ama nje ya hao ambae ni Mtanganyika aliyekuwa na elimu ya Stashahada nje ya Julius Nyerere na Shahada ya Uzamifu nje ya Daktari Vedasto Kyaruzi?

Niletee hapa wasifu wake
 
Waombe wakusaidie hata akina Mohamed Said, GombeSugu, Boko Haram, The Big Show, Sixgates, Chilisosi, Hamy-B, MwanaDiwani, na wengineo
 
Mkuu,

YN amemaanisha, watanzania kwa umjumla wetu bado tunahitaji elimu pana sana kuielewa katiba na maana yake. Hakika bado tuko nyuma sana kwenye hili! Kuna watu wa aina mbali mbali nimekuwa nawauliza maswali kuhusiana na mtafaruku wa juzi bungeni; you will be supprised na majibu ya waTZ hawa!!
-wapo wasemao, katiba ilikuwa inagombaniwa kupitishwa.
-wapo wasemao wapinzani hawajui wananchosema, wanagombani madaraka tu kwa kuhitaji serikali taili wapate nafasi ya uongozi angalau serikali ya Tanganyika
-wapo wanaosema mbowe alikuwa nang'ang'ania hadhi ya uwaziri mkuu
-na mengineyo mengi...

Hakika kati ya wote walikuwapo wazee wastaafu, wanafunzi wa high school, waajiriwa tena graduates na watu wakawaida. Hakuna hata aliyeongelmuswaada wa mabadiliko ya sheria ya mabadiliko ya katiba!!!

Naungana na YN kuwa tunahitaji muda na committiment toka serikalini ya kuhamasisha na kuelimisha wananchi wajue ni nini tunakitafuta...
Hasaaaa!

Hilo ndio nililomaanisha zaidi mkuu,
 
Hasaaaa!

Hilo ndio nililomaanisha zaidi mkuu,

Mkuu unajua kosa kubwa tunalotaka kufanya ni kulazimisha katiba ili mabadiliko yatokee, mimi naamini hili halitatusaidia sana! Bado tunahitaji uelewa katika katiba..wananchi tujue haki zetu za msingi ili katika maisha ya kawaida tuzidai na siyo kuomba. Mfano, dhamana katika vituo vya polisi, yaani huwa na kereka na watu wanaoomba kunegotiate na polisi wapewe dhamana, badala ya kudai tu, dai na timiza masharti unatoka! hii ni moja ya mifano inayohitaji wananchi tujue haki zetu...
 
Mkuu naomba ruhusa yako nikusahihishe kidogo kwenye lugha.
Naona una tafsiri isiyo sahihi ya neno stashahada, Stashahada si masters kama ulivyoainisha kwenye uzi wako bali ni Diploma. Kwenye mtiririko wa elimu tuna astashahada -Certificate,Stashahada -Diploma,Shahada-Degree,shahada ya Uzamili (Masters) na Shahada za Uzamivu (PhD)!
 
Asante kwa masahihisho mkuu wangu,
 
Mkuu unajua kosa kubwa tunalotaka kufanya ni kulazimisha katiba ili mabadiliko yatokee, mimi naamini hili halitatusaidia sana! Bado tunahitaji uelewa katika katiba..wananchi tujue haki zetu za msingi ili katika maisha ya kawaida tuzidai na siyo kuomba. Mfano, dhamana katika vituo vya polisi, yaani huwa na kereka na watu wanaoomba kunegotiate na polisi wapewe dhamana, badala ya kudai tu, dai na timiza masharti unatoka! hii ni moja ya mifano inayohitaji wananchi tujue haki zetu...

Ndiomaana nimechukua fursa hii kuwaamsha Watanzania wenzangu
 
Nimeamini kuwa kweli hukuelewa na unataka kupindisha maana ya nilichosema,

Soma vizuri hiki nilichosema,

Kisha nakuuliza tena,

Ninani kati ya hao niliowataja ama nje ya hao ambae ni Mtanganyika aliyekuwa na elimu ya Stashahada nje ya Julius Nyerere na Shahada ya Uzamifu nje ya Daktari Vedasto Kyaruzi?

Niletee hapa wasifu wake
Unafamhamu Dr. Mutahangarwa? Unafahamu Dr. Lugaiza? Wapo wengi tuanze na hawa unajua elimu zao?
 
Unafamhamu Dr. Mutahangarwa? Unafahamu Dr. Lugaiza? Wapo wengi tuanze na hawa unajua elimu zao?

SIWAFAHAMU,

Ninaomba kufahamishwa wasifu wao, na walihudumu wapi katika nchi kabla na baada ya Uhuru wa Tanganyika,

Mimi ninatumia rekodi za wizara ya elimu kupata taarifa za wasomi hawa wa mwanzo,

Hebu tupe darasa mkuu huenda wizara ya elimu hawajatambua kuwa wapo wasomi hao
 
Kwanza pole kwa kutojua historia. Staki nijikite zaidi kuelezea madhumun na madhara ya ukolon kwa nchi za Afrika, lakin napenda nikukumbushe tu kwamba wakolon waliingia Afrika kwa lengo kubwa la kuchukua raslimal zetu.(soma kitabu "HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA" kilchoandikwa na Water Rodney). Unachokiamin wewe ni mtazamo wa kimagharibi(Eurocentric view, which claim that colonialism was there as the civilisation mission) ambao ni mahususi kwa kuhalalisha ukoloni na kufunika maovu walokuwa wakitendewa babu zetu. Kuhusu swala la katba unamaanisha kwamba kwa kuwa JK hakuwah kuwa na wazo hilo watz hatukutakiwa kuanzisha mchakato wa kupata katiba yenye kuwakomboa hasa wanyonge? Umeniskitsha sana ndugu.

south Africa isingekua pale ilipo kama wazungu wangetoa uhuru mapema!!! tukubali tusikubali waafrika tulikua bado sana kujitawala wenyewe na results zinaonekana kote kwa kila mtu kuona!!! umeona historia ya afrika kwa upande wa walter rodney ungechukua mda pia kuangalia historia kwa upande wa pili wa shilingi kwa kuanzia tu angalia movie inayoitwa Arican addio alafu utaanza kupata mtazamo labda tofauti!!!
 
Yericko,

Kwa faida ya JF tufahamishe PhD ya Dr. Vedasto Kyaruzi alisoma wapi.
 
mleta uzi upo kizalendo zaidi.....nayaunga mkono maandiko yako.
 
Nimeamini kuwa kweli hukuelewa na unataka kupindisha maana ya nilichosema,

Soma vizuri hiki nilichosema,

Kisha nakuuliza tena,

Ninani kati ya hao niliowataja ama nje ya hao ambae ni Mtanganyika aliyekuwa na elimu ya Stashahada nje ya Julius Nyerere na Shahada ya Uzamifu nje ya Daktari Vedasto Kyaruzi?

Niletee hapa wasifu wake

Waombe wakusaidie hata akina Mohamed Said, GombeSugu, Boko Haram, The Big Show, Sixgates, Chilisosi, Hamy-B, MwanaDiwani, na wengineo
Teh teh teh! Kujitapa kote kumbe haujui chochote kuhusu wasomi wetu.
 
Mkuu Yericko Nyerere ahsante kwa bandiko hili lililoshiba. Umeandika jambo moja la msingi sana kwani watanzania wanaburuzwa tu na wanasiasa wa ccm ili kuwahadaa kuwa wananchi wametengeneza katiba mpya.

Ukweli ni kwamba ni wananchi wachache sana wanaoifahamu katiba ya zamani na hata hii rasimu ya katiba mpya.
Kosa kubwa lililofanywa na ccm na serikali yake ni kuanzisha mchakato wa katiba bila kutoa kwanza elimu kwa watanzania ili wawe na uelewa mpana na sahihi juu ya katiba na waweze kutoa maoni ambayo ni makini sana.
Kama wananchi wangeelimishwa vizuri ingewasaidia sana kuilinda katiba yao huku wakizitambua haki zao na ingekuwa rahisi kuzidai pale itakapotokea wamenyimwa haki hizo.

Kimsingi tunahitaji marekebisho ya sheria ya uchaguzi ili tupate tume huru ya uchaguzi itupitishe salama 2015 na mchakato wa katiba uende taratibu na kwa maridhiano baina ya makundi mbalimbali yenye mitazamo tofauti juu ya katiba mpya.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unakosa mwelekeo wa hoja ndugu,

Nimekuomba unipe darsa lakini unaleta vichekesho,
Wewe ndiyo umekosa mwelekeo tena umeleta dharau umenipa na orodha ya watu nikawaulize.

Nimekuuliza Dr. Vedasto Kyaruzi kasomea wapi PhD?
 
Natofautia na wewe kidogo kamanda,

Kwanza Kenya sio kipimo cha watanzania kupata katiba yao Mpya,

Mleta mada anachopendekeza nikuwa watanzania waendelee kupewa elimu, na anasema minyukano hii tunayoiona iendelee mpaka turidhiane kwa hekima kisha tuandike katiba mpya,

Kuhusu katiba ya kuongoza uchaguzi 2015, kamanda anatushauri kuwa turekebishe mapungufu ya kwenye katiba iliyopo ili ituongoze vema 2015,

Nami naafikiana na mengi aliyoyaeleza mtoa mada, Yericko Nyerere japo siafiki maelezo yake kusema Katiba mpaka ile ya 1977 ulikuwa ni MKONO wa Mwalimu Nyerere. Ukweli ni kwamba, Katiba baada ya kupata Uhuru japo kwa kiwango kikubwa iliandikwa na Mwalimu Nyerere, lakini pia ilikuwa na ushirikishwaji wa wadau tofauti zikiwemo elements za Utawala kutoka kwa Waingereza. Yetu hasa, ile ya mwaka 1977 katika kuundwa kwake iliteuliwa Tume ambayo ilifanya kazi kubwa ya kutunga Katiba katiba tunayoitumia sasa, Tume iliyoongozwa na Hayati Sheikh Thabit Kombo, mmoja wa Waasisi wa Chama cha Afro Shirazi na CCM.

Vilevile, naungana na wachangiaji wa mada hii muhimu na elekezi kuhusu Katiba Bora na si lazima mpaka zaidi ya 2015 tuwe hatujapata Katiba Mpya kama tutautumia vyema muda huu tulionao mpaka kufikia Uchaguzi wa 2015. Kama ni elimu, ya awali ilishatolewa na elimu zaidi inaweza tolewa ndani ya siku chache tulizonazo kama tutakuwa na mpango mkakati makini maana taasisi (instruments) za kufikisha elimu hiyo mpaka kwenye ngazi za kitongoji zipo. Na hizi ndizo kazi za Serikali za Mitaa.

Taasisi za Vyama, Asasi za Kijamii, na nyinginezo pia zinafanya kazi kubwa katika kutoa elimu na sidhani kama kuna kitongoji au kijiji kwa sasa hakifahamu kuhusu Mchakato unaoendelea kuhusu Katiba. Vilevile, kwenye Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, mbali na wajumbe kutoka kila Kata, Madiwani pia walikuwa ni Wajumbe na sidhani kama hawakuweza kushauriana na wapiga kura wao.

Tulipofikia sasa, ni kwenye Bunge la Katiba, hivyo ni vizuri Wabunge wa Kawaida na wale watakaoteliwa kwenye Bunge la Katiba kutoa mawazo shirikishi kutoka kwa Wananchi wa Majimbo yao na Asasi husika. Hii yote haihitaji twende zaidi ya 2015 kama Wahafidhina wa Mchakato huu pia watakuwa na nia njema kwa Taifa letu.

Tukiweka maslahi binafsi, ya Vyama au ya Asasi zetu pembeni, nina imani Katiba Bora itapatikana kabla ya Uchaguzi wa 2015.

MUNGU IBARIKI TANZANI, MUNGU IBARIKI AFRIKA!
 
Back
Top Bottom