Unajua tukiwa nyuma ya keyboard muda mwingine tunasahau uongo tulioandikaππππππππ sasa unakua na nyumba ya vyumba viwili alafu godoro huna dah si mtihani huoππππππ na kama godoro hana inamaana hata vyombo vya muhimu ndani hakua navyo sababu za kuchukua vyumba viwili ni nnNyumba ya vyumba 2 alafu unaenda kukopa godoro π
Bla bla bla tu huku tukisubiri uefa ianze hamna namna πUnajua tukiwa nyuma ya keyboard muda mwingine tunasahau uongo tulioandikaππππππππ sasa unakua na nyumba ya vyumba viwili alafu godoro huna dah si mtihani huoππππππ na kama godoro hana inamaana hata vyombo vya muhimu ndani hakua navyo sababu za kuchukua vyumba viwili ni nn
Usishangae kesho anakuja humu jf anaomba msaada mwenye connection ya kazi ili aweze kujitegemeaBla bla bla tu huku tukisubiri uefa ianze hamna namna π
Linakuuma wewe kama nani? Afu we jamaa ni msela mavi una kiherehere wewe ungevunga au ungetumia njia ya usahihi kufikisha ujumbe kuliko kujifanya.....we unajua mipango yake ni ipi? Umefeli kakaSawa mimi sijaingilia ila nimejaribu kumtafakarisha yupo Dar mda sana af isitoshe ana miaka mingi sana tangu yupo Dar ilo ndio limeniuma
Huyu ndugu anafikiri mtu kua serikalini basi kashampangia matumizi na mapato ,pasipo kujua hazina ya jamaa na maono yake.....na kingine kuna baadhi ya watu serikalin huficha sana amana zao.....kwa sababu ya vitochi ka mtoa mada....ila aniwie radhiUnapoenda kwa mtu hautakiwi kufunua funua mdomo kuhusu maisha ya hapo. Mfano mtu, haishi pamoja na familia yake kwa sababu za kiutafutaji, familia iliko kainunulia kila kitu cha muhimu. Yeye anaamua kuto- duplicate vitu kwa sababu tayari ana vitu hivyo tena vilivyo bora hasa sema ni somewhere kwake huko iliko familia, maana yake hapo anapoishi kigeto geto hana TV, hana friji, ana kikochi kimoja kimeisha, ndo kitanda cha futi 3.5 etc. Jamaa flani akiingia kwake ana mdharau, man grow up!
Maisha kila mmoja anapambana nayo kwa style yake.
Nunueni vitanda hivoπππKwahio ukiwa Dar miaka mingi na kitanda nacho kinatakiwa kiwe cha futi nyingi sio π
Wafanyakaz wa sirikali[emoji3]tunasoma comment zenu
Usishangae kesho anakuja humu jf anaomba msaada mwenye connection ya kazi ili aweze kujitegemea
Unajua tukiwa nyuma ya keyboard muda mwingine tunasahau uongo tulioandika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unakua na nyumba ya vyumba viwili alafu godoro huna dah si mtihani huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kama godoro hana inamaana hata vyombo vya muhimu ndani hakua navyo sababu za kuchukua vyumba viwili ni nn
Ulikwama mkuu,sasa kitanda au godoro ni kitu gani watu wanalalia mkeka halafu safi tu...
Labda namna ya kuwasilisha ujumbe ilikuwa si nzuri, kama ni washkaji haswa Yani unajua Kuna ule ushkaji ambao ni kama ndugu wa familia Hadi mnatukanana na Wala hakuna anayemind ndo kwanza vicheko aina hii ya ushkaji ndiyo nzuri ya kurekebisha vitu kama hivyo direct kwamba " hichi kitanda hebu badilisha Mzee, acha ufala Hadi muuza maji anakushinda" then vicheko.
Kuna ule ushkaji wa kufahamiana tu ka mabroo, mmekutana tu mkaanza urafiki ambao uko deep nao ila si wa kindugu ule, Kuna namna ya kutumia lugha kusolve mambo kama hayo ya rafiki yako, kumfikishia ujumbe.
Ukiona huna ule urafiki wa kindugu na mtu basi achana na mambo ya kumshauri directly, kutumia lugha ya Moja Kwa Moja kwenye mambo kama hayo, watu wanapitia changanoto nyingi kwenye maisha labda huyo ana mipango yake mizuri nk, watu wengi wako weak emotional hivyo ni rahisi kuudhika na kukasirika pia,Bora hata ungemwambia bro "Kuna kitanda kinauzwa cha futi sita nk, kama utakitaka nimcheki jamaa, nimekicheki kizuri kinoma, ukikidaka hichi itakuwa unyama bro mana jamaa alinicheki nimtafutie mteja nkaona ngoja nimwambia bro wangu hapa Yani ile lugha za vijana na mbwebwe za maneno kibao ya kijanja ya kuzuga, yy ni mtu mzima ataelewa.
Umefanya vizuri sana. Tatizo sisi wanaume tukiambiana ukweli tunachukiana na kununiana kumbe tunaelekezana ukweli kuhusu maisha yetu sasa mtu umeajiriwa tena serikalini mshahara wa uhakika hata kama mdogo(imani za matajiri wengi wa JF) lakini unaendelea kuishi kiloko godoro la futi 3 na kitanda kama uko mochwari . Bastardo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ume intrude privacy ya mtu
Ujuaji kwenye maisha ya watu. Huwezi jua kaamua kufocus kwenye jambo gani.
Vumilia tu kwasasa,akisha nunua godoro ataku unblock tu.
Nina rafiki yangu wa muda mrefu sana yeye anafanya kazi mzuri sana serikalini tumezoeana sana sana sasa ilipita mda sijaenda kwake juzi kati aliniita uku akilalamika umenitupa mdogo wangu utaki kuja kwangu ndipo nikafunga safari juma mosi kwenda kwake huko Goba
Nimefika mida ya mchana tumekaa sasa nikaona kuna kitu hakipo sawa ndipo nilipo mwambia broo unaniangusha
Inakuwaje una miaka kumi kazini af bado una godoro la fut nne na kitanda cha futi nne na unakaa peke yako? Ushawai jiuliza siku uki umwa marafiki zako wakikuleta hapa kwako af wakakuta unalalia kitanda hiki wataondoka na picha gani? Kweli unashindwa nunu kitanda cha sita kwa sita au tano kwa sita? Alikaa kimya
Baada ya kutoka hapo alini block sasa hapo kosa langu mimi liko wapi?