Kosa langu hapa lipo wapi?

Kosa langu hapa lipo wapi?

Nyumba ya vyumba 2 alafu unaenda kukopa godoro πŸ˜†
Unajua tukiwa nyuma ya keyboard muda mwingine tunasahau uongo tulioandikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa unakua na nyumba ya vyumba viwili alafu godoro huna dah si mtihani huoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na kama godoro hana inamaana hata vyombo vya muhimu ndani hakua navyo sababu za kuchukua vyumba viwili ni nn
 
Unajua tukiwa nyuma ya keyboard muda mwingine tunasahau uongo tulioandikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa unakua na nyumba ya vyumba viwili alafu godoro huna dah si mtihani huoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na kama godoro hana inamaana hata vyombo vya muhimu ndani hakua navyo sababu za kuchukua vyumba viwili ni nn
Bla bla bla tu huku tukisubiri uefa ianze hamna namna πŸ˜„
 
Sawa mimi sijaingilia ila nimejaribu kumtafakarisha yupo Dar mda sana af isitoshe ana miaka mingi sana tangu yupo Dar ilo ndio limeniuma
Linakuuma wewe kama nani? Afu we jamaa ni msela mavi una kiherehere wewe ungevunga au ungetumia njia ya usahihi kufikisha ujumbe kuliko kujifanya.....we unajua mipango yake ni ipi? Umefeli kaka
 
Unapoenda kwa mtu hautakiwi kufunua funua mdomo kuhusu maisha ya hapo. Mfano mtu, haishi pamoja na familia yake kwa sababu za kiutafutaji, familia iliko kainunulia kila kitu cha muhimu. Yeye anaamua kuto- duplicate vitu kwa sababu tayari ana vitu hivyo tena vilivyo bora hasa sema ni somewhere kwake huko iliko familia, maana yake hapo anapoishi kigeto geto hana TV, hana friji, ana kikochi kimoja kimeisha, ndo kitanda cha futi 3.5 etc. Jamaa flani akiingia kwake ana mdharau, man grow up!

Maisha kila mmoja anapambana nayo kwa style yake.
Huyu ndugu anafikiri mtu kua serikalini basi kashampangia matumizi na mapato ,pasipo kujua hazina ya jamaa na maono yake.....na kingine kuna baadhi ya watu serikalin huficha sana amana zao.....kwa sababu ya vitochi ka mtoa mada....ila aniwie radhi
 
Usishangae kesho anakuja humu jf anaomba msaada mwenye connection ya kazi ili aweze kujitegemea

Ahahhah mbona mimi sijaongelea kuhusu kazi kaka mtu kuomba connection ya kazi mbaya? Je kama namtafutia
Mdogo wangu au nataka kuacha kazi? Tisa yote kumi kila mtu ana maisha yake
 
Unajua tukiwa nyuma ya keyboard muda mwingine tunasahau uongo tulioandika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unakua na nyumba ya vyumba viwili alafu godoro huna dah si mtihani huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kama godoro hana inamaana hata vyombo vya muhimu ndani hakua navyo sababu za kuchukua vyumba viwili ni nn

Unge soma vizuri nilisema nilianza hivyo up tu now sijasema nimeanza jua kutofautisha
 
Labda namna ya kuwasilisha ujumbe ilikuwa si nzuri, kama ni washkaji haswa Yani unajua Kuna ule ushkaji ambao ni kama ndugu wa familia Hadi mnatukanana na Wala hakuna anayemind ndo kwanza vicheko aina hii ya ushkaji ndiyo nzuri ya kurekebisha vitu kama hivyo direct kwamba " hichi kitanda hebu badilisha Mzee, acha ufala Hadi muuza maji anakushinda" then vicheko.

Kuna ule ushkaji wa kufahamiana tu ka mabroo, mmekutana tu mkaanza urafiki ambao uko deep nao ila si wa kindugu ule, Kuna namna ya kutumia lugha kusolve mambo kama hayo ya rafiki yako, kumfikishia ujumbe.

Ukiona huna ule urafiki wa kindugu na mtu basi achana na mambo ya kumshauri directly, kutumia lugha ya Moja Kwa Moja kwenye mambo kama hayo, watu wanapitia changanoto nyingi kwenye maisha labda huyo ana mipango yake mizuri nk, watu wengi wako weak emotional hivyo ni rahisi kuudhika na kukasirika pia,Bora hata ungemwambia bro "Kuna kitanda kinauzwa cha futi sita nk, kama utakitaka nimcheki jamaa, nimekicheki kizuri kinoma, ukikidaka hichi itakuwa unyama bro mana jamaa alinicheki nimtafutie mteja nkaona ngoja nimwambia bro wangu hapa Yani ile lugha za vijana na mbwebwe za maneno kibao ya kijanja ya kuzuga, yy ni mtu mzima ataelewa.

Ahahahha sikuwaza ivyo
 
Umefanya vizuri sana. Tatizo sisi wanaume tukiambiana ukweli tunachukiana na kununiana kumbe tunaelekezana ukweli kuhusu maisha yetu sasa mtu umeajiriwa tena serikalini mshahara wa uhakika hata kama mdogo(imani za matajiri wengi wa JF) lakini unaendelea kuishi kiloko godoro la futi 3 na kitanda kama uko mochwari . Bastardo

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukisema et unaambiwa mwana mkuda sana
 
Ujuaji kwenye maisha ya watu. Huwezi jua kaamua kufocus kwenye jambo gani.
Huenda kaamulia kuvumilia ana jambo lake. unaweza shangaa anakuja kuamia kwake mjengo mpya na kila kitu kipya.

anaenda na begi la nguo tu.
 
Ujuaji kwenye maisha ya watu. Huwezi jua kaamua kufocus kwenye jambo gani.

Saw miak tano sijui kumi tangu apangiwe kazi yupo hapa dar akitoka kaenda uko machame kusalimia ana back uzembee
 
Nina rafiki yangu wa muda mrefu sana yeye anafanya kazi mzuri sana serikalini tumezoeana sana sana sasa ilipita mda sijaenda kwake juzi kati aliniita uku akilalamika umenitupa mdogo wangu utaki kuja kwangu ndipo nikafunga safari juma mosi kwenda kwake huko Goba

Nimefika mida ya mchana tumekaa sasa nikaona kuna kitu hakipo sawa ndipo nilipo mwambia broo unaniangusha

Inakuwaje una miaka kumi kazini af bado una godoro la fut nne na kitanda cha futi nne na unakaa peke yako? Ushawai jiuliza siku uki umwa marafiki zako wakikuleta hapa kwako af wakakuta unalalia kitanda hiki wataondoka na picha gani? Kweli unashindwa nunu kitanda cha sita kwa sita au tano kwa sita? Alikaa kimya

Baada ya kutoka hapo alini block sasa hapo kosa langu mimi liko wapi?

Kaa mbali na mtu asiyekuwa na maono, pia usingemshauri maana hayo ni mambo yake, mimi hata sijui kama kuna baso kitanda cha 4x6 kwa mtu mzima
 
Back
Top Bottom