Kosa langu hapa lipo wapi?

Kosa langu hapa lipo wapi?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Nina rafiki yangu wa muda mrefu sana yeye anafanya kazi mzuri sana serikalini tumezoeana sana sana sasa ilipita mda sijaenda kwake juzi kati aliniita uku akilalamika umenitupa mdogo wangu utaki kuja kwangu ndipo nikafunga safari juma mosi kwenda kwake huko Goba

Nimefika mida ya mchana tumekaa sasa nikaona kuna kitu hakipo sawa ndipo nilipo mwambia broo unaniangusha

Inakuwaje una miaka kumi kazini af bado una godoro la fut nne na kitanda cha futi nne na unakaa peke yako? Ushawai jiuliza siku uki umwa marafiki zako wakikuleta hapa kwako af wakakuta unalalia kitanda hiki wataondoka na picha gani? Kweli unashindwa nunu kitanda cha sita kwa sita au tano kwa sita? Alikaa kimya

Baada ya kutoka hapo alini block sasa hapo kosa langu mimi liko wapi?
 
Jamaa aliumia sana,ingawaje umemwambia kitu kizur cha maendeleo

Ujue kuna watu tunatofautiana,kuna watu hcho kitanda cha futi 4 huwa tunakiona kikubwa,niliwah kugombana sana na mke wangu kuhusu kitanda cha nne kwa sita,nilkuja kukiona kidogo tulipopata mtoto
 
Jamaa aliumia sana,ingawaje umemwambia kitu kizur cha maendeleo

Ujue kuna watu tunatofautiana,kuna watu hcho kitanda cha futi 4 huwa tunakiona kikubwa,niliwah kugombana sana na mke wangu kuhusu kitanda cha nne kwa sita,nilkuja kukiona kidogo tulipopata mtoto
Ndio ivyo mimi nimemwambia ili ajifikilie tangu mimi namfahamu ana iko kitanda mpaka leo how comes?
 
Kwahio ukiwa dar miaka mingi na kitanda nacho kinatakiwa kiwe cha futi nyingi sio 😝
No ila unatakiwa ujibane upate na wewe kitanda kizuri mfano mim niliaza kualal chini nikajibana niwezavyo nikaenda kukopangodoro dukani uku kila mwisho wa mwezi napeleka kiasi polepole nikamaliza na geto langu lina lidhisha kiasi chake
 
Back
Top Bottom